Curtiz
JF-Expert Member
- Oct 1, 2021
- 948
- 1,911
Kwa komba??? Wale mateja pale nyuma hiv serikali huwa haiwaoni au ni vipi etiiiiTangi Bovu tumelikuta bovu hivyo hivyo lina kutu.
Pale kulikuwa na mashamba, shamba la bibi yangu lilikuwa upande wa pili hapo palipokuwa na Tangi Bovu.
Hivyo inaonekana lilitumika katika kuhudumia nyumba ya shambani.