Kwanini Mbilikimo wengi wanapatikana kwenye Misitu ya DRC

Aisee kweli JF ni shule tosha Asante Kichuguu!!!
 
Vipi, bado kuna watu wako interested na discussion hii? Iliibuka sana wakati nikiwa nakwenda kwenye mkutano, nikaomba ikatishwe hadi nikimaliza mkutano ule. Nimekuwa nakuta notifications nyingi sana kwenye account yangu zinazohusu thread hii, je bado wachangiaji wenye interest zaidi ya nilivyokwisha andika huko nyuma?
 
Mkuu@Kichuguu Elimu haina mwisho pia urudi na andiko jingine. Wengi wamechangia kwa kila mmoja kuleta andiko analoliamini kuhusu Mbilikimo. Tumepata kitu kipya kwa kila aliyeleta andiko lake pia najua wana jf wengine wataleta maandiko kulingana na wanavyopata nafasi.
 
mkuu mbona asaiv binadamu tunaelekea kufanana?
 
mkuu mbona asaiv binadamu tunaelekea kufanana?
Uko sahihi, lakini nadhani Mhindi atabaki kuwa Mhindi na Golo atabaki kuwa Golo kama hawa hawakuchanganya damu, isipokuwa kama walivyosema wengine kuwa hadi ipite mamilioni ya miaka.
 
Duh yaani watu wanataka Kichuguu awe na majibu conclusive kwa kila wanachotaka kujua ilhali yeye ametoa mchango wake tu kwa mtoa mada. Nilivyofundishwa na kwa kuendelea kusoma evolution ni complex na wanasayansi bado wanaendelea ku-debate kuhusu evolution.

Pole na hongera Mwl Kichuguu!
 
Hope kwa ufafanuzi huu sina swali mkuu
 
Nasikia serikali ya Kongo kwa upande mmoja haiwajari hawa mbilikimo kama ilivyo hapa nyumbani kwa ndugu zetu Wahadzabe,mpaka litokee jambo linalowahusu kama sensa vile.
 
Mkuu umeshusha shule nzuri sana, sina zaidi nasubiri mengi zaidi kuhusiana na mada hii.
 
Wote mliochangia thread hii salute kwenu,nawavulia:yo: bado niko pembeni kufuatilia nondo.
 
Kichuguu nimekuelewa vizuri sana,ndio maana ha waluguru wa Moro ni wafupi,washukuru sana chuo cha Mzumbe,kimesaidia kuwapatia mbegu ndefu baada ya sisi kupita kimasomo pale.
 


biashara ya utumwa ilisababisha watu weusi kusambaa duniani kote kwani ndio walionekana wana nguvu ya kufanya kazi kwa muda mrefu bila kuchoka na kuhimili magonjwa yaliyokuwa wanaweza kuwaua watu wengine wakiwemo wahindi wekundu. Baada ya biashara ya utumwa kukomeshwa watu weusi waliokuwa wameshikiliwa kama watumwa waliachiwa wakaanza kuishi kama watu huru, wakaoa na kuzaa,

hii ilitokana na kukosekana kwa taarifa za kutosha watu hao walichukuliwa katika nchi gani Afrika ili warudishwe. ndio maana marekani ilijaribu kuwarudisha wachache tu na ikawamwaga Liberia, ndio maana hadi leo bendera ya Liberia iko sawa na ya marekani/inafanana sana. unakumbuka na jina la makao makuu ya Liberia yanaitwaje? weusi walipokuwa wanazaliana na damu nyeupe waliendelea kutokea weusi wa aina mbalimbali, na ndio maana mabara mengi yana watu weusi au wanaofanana na weusi katika baadhi ya maeneo walipoishi watu weusi

Tz ukienda kondoa dodoma na Manyara mbulu utaona kuna weusi lakini wanafanana nywele zao na kwa sehemu ya ngozi yao na waarabu n.k.
 


It makes a lot of sense, na ni kweli Pangaea Theory na Plate Tectonics zina support sana haya maelezo.
 

Hivi unadhani wakati nasema haya nilikua sijiu kuhusu biashara ya utumwa?
 
.... Kumbuka kuwa kuna makaburu Afrika ya Kusini wanaoishi kule kwa karne nyingi na bado hawajabadilika rangi kwa kuishi katika tropikali.
Genetic changes is not a few centuries process but rather takes millions of years. Pale SA makaburu hawana hata 500 yrs hivyo haitegemewi wawe wamebadilika kijetiki kwa kiwango cha kubadilika rangi ya ngozi n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…