Kwanini Mbilikimo wengi wanapatikana kwenye Misitu ya DRC

Asante kwa ufafanuzi, je vp kuhusu wanasayansi wanaosema environmental factors can not be inherited? Yan jilitegemea kama adam na hawa walikua wazungu basi wanadam wote ilitakiwa tuwe wazungu
Hakuna sayansi ya namna hiyo. Ulishaoana Wayahudi wa Ethiopia ukawalinganisha na Wayahudi wa Urusi?
 
Hakuna sayansi ya namna hiyo. Ulishaoana Wayahudi wa Ethiopia ukawalinganisha na Wayahudi wa Urusi?
Hujanielewa namaanisha kwa nini kama mtu amepata ulemavu labda kwa ajali au mtu ni mweusi akajipoa akawa mweupe hawezi kua na mtoto mwenye sifa kama zake thus i mean environmental factors can not be inherited
 
Halafu nasikia kuna mafala wa huko Congo wanawala hao washkaji, noma sana
 
Hujanielewa namaanisha kwa nn kama mtu amepata ulemavu labda kwa ajali au mtu ni mweusi akajipoa akawa mweupe hawez kua na mtoto mwny sifa kama zake thus i mean environmental factors can not be inherited
Ulemavu au kujichubua ngozi kwa mkorogo siyo environmental factors bali ni artificial body modification. Hata ulemavu wa kuzaliwa nao unaweza kuwa artificial body modification kama unatokana na jinsi mama alivyolea mimba; mambo ya aina hiyo hayarithiwi. Ulemavu unaotokana na genetics kwa mfano ugonjwa wa sickle cell au breast cancer vinarithiwa.
 
Angalia mashindano ya mpira wa mbilikimo wa Brazil, Argentina Chile na Bolivia


 
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
"Evolution by natural selection" Ni mazingira ya pale ndiyo yamewafaa , na wao wakayafaa.
 
Hivi huwezi andika kwa Kiswahili chetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwango ulichoelezea kwa kweli ningeweza kuweka like 80 mi mwenyewe ningeweka

Nimeelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Some environmental conditions can modify the DNA controlling the switching of different genes in an organism, but then again, this process is evolutionary.
Sawa Sawa
 
Umefafanua vyema sana
 
Nasikia wanaliwa, tena kwa kuwindwa kama Swala.
 
Sasa kama huna uhakika kwanini hili la mbilikimo umelijengea hoja na kulihusisha na dhana ya Evolution, huoni kama hapa umeandika uongo na huwezi kuthibitisha ukweli wa maelezo yako ?
 
Kwanini Waafrika wengi wanapatikana barani Afrika. Au kwa nini wahindi wengi wanapatikana barani Asia?
 
Kaka swali la msingi kwangu, je unaweza kututhibitishia hali ilivyokuwa miaka elfu nyuma juu ya hao mbilikimo walikuwaje ? Maana umekiri ya mbeleni huyajui sasa hayo ya nyuma mpaka wakawa vile walivyo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…