Kwanini Mbowe aliahirisha ghafla safari ya kwenda Dar na siku hiyohiyo Lissu akapigwa risasi?

Kwanini Mbowe aliahirisha ghafla safari ya kwenda Dar na siku hiyohiyo Lissu akapigwa risasi?

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Wakuu kwema? Nini kiitokea kikafanya Mbowe aahirishe ghafla safari aliyokuwa ameipanga? Hamuoni kwamba ana machale?

Nashauri tumpitishe kwa kishindo ili machale yake yaendelee kukibeba chama. Makamada piiipooooz.
GfuKjWFXEAA9A0v.jpeg
 
Jaribu kuuliza askari waliotakiwa kuwa zama siku hiyo na pia camera za eneo la tukio

Huku kuonja sumu kwa ulimi Kuna kulikowahi kutamkwa?

GfuKjWFXEAA9A0v.jpeg


Hata lile tumbo la kuhara akiluongelea dalali Wenje yaweza kuwa haikuwa haba!
 
Askari Lissu anaosema huwa wanakuwa lindo masaa 24 walikuwa wapi akipigwa risasi? Waliondoka saa ngapi na walirudi saa ngapi??
Walikuwa Lunch.
 
Uchaguzi usije ukafanya tukaondoa utu wa mtu, baada ya uchaguzi hayo maneno kuyameza itakuwa ngumu, tuwapime kwa hoja na umahili wao katika uongozi. Lisu amekuwa kiongozi basi tumpime katika nafasi yake aliyokuwa anaitumikia je alifanyaje? je anafaa kupewa nafasi kubwa? kama anafaa apewe, Mbowe tumefahamu katika nafasi yake ya uongozi pia, tumpime anafaa kuendelea au apumzike wajumbe wafanye kazi yake,
 
Back
Top Bottom