milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
TAL angekata moto ingekuwa faida! Anasababisha kelele nchi nxima Kila kukicha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakina nani walishirikiana na Mbowe kuzitoa camera??Walishirikiana na Mbowe kuzitoa.
TALWakina nani walishirikiana na Mbowe kuzitoa camera??
Another code ya ujambazi wa jamaa😂Wakuu kwema? Nini kiitokea kikafanya Mbowe aahirishe ghafla safari aliyokuwa ameipanga? Hamuoni kwamba ana machale?
Nashauri tumpitishe kwa kishindo ili machale yake yaendelee kukibeba chama. Makamada piiipooooz.
View attachment 3186158
Punguza usenge kwenye vitu sensitive 🖕
Walizitoa wapi?Walizirudusha walipo zitoa
akale chakula kwa mbowe kivipi alaa?Wakuu kwema? Nini kiitokea kikafanya Mbowe aahirishe ghafla safari aliyokuwa ameipanga? Hamuoni kwamba ana machale?
Nashauri tumpitishe kwa kishindo ili machale yake yaendelee kukibeba chama. Makamada piiipooooz.
View attachment 3186158
Punguza usenge kwenye vitu sensitive 🖕
Sio siku hiyohiyo muwe mnafuatilia vizuri mambo kabla hamjaongea."Hauwezi kuwa msaliti ukasurvive" Magufuli kwenye press.
Siku hiyohiyo Lissu akala shaba zaidi ya 16 mwilini.
Afu yeye ndio ka R.I.P Mungu anatisha sana"Hauwezi kuwa msaliti ukasurvive" Magufuli kwenye press.
Siku hiyohiyo Lissu akala shaba zaidi ya 16 mwilini.
Wewe ulikuwa wapi wakati huoLissu alifumaniwa na mke wa mtu
Na akapona,msela nondo wa bethlehem misumari mitatu chali!"Hauwezi kuwa msaliti ukasurvive" Magufuli kwenye press.
Siku hiyohiyo Lissu akala shaba zaidi ya 16 mwilini.
Kuamulia ugomvi, walikuwa wanarushiana risasi Lissu na hao jamaaWewe ulikuwa wapi wakati huo
Upo serious??Lissu alifumaniwa na mke wa mtu