Kwanini Mbowe aliahirisha ghafla safari ya kwenda Dar na siku hiyohiyo Lissu akapigwa risasi?

Kwanini Mbowe aliahirisha ghafla safari ya kwenda Dar na siku hiyohiyo Lissu akapigwa risasi?

TAL angekata moto ingekuwa faida! Anasababisha kelele nchi nxima Kila kukicha!
 
Pengine na yeye was targeted.

Hii nchi paparazzi ni kubwa
 
Wakuu kwema? Nini kiitokea kikafanya Mbowe aahirishe ghafla safari aliyokuwa ameipanga? Hamuoni kwamba ana machale?

Nashauri tumpitishe kwa kishindo ili machale yake yaendelee kukibeba chama. Makamada piiipooooz.
View attachment 3186158
Another code ya ujambazi wa jamaa😂
 
Wakuu kwema? Nini kiitokea kikafanya Mbowe aahirishe ghafla safari aliyokuwa ameipanga? Hamuoni kwamba ana machale?

Nashauri tumpitishe kwa kishindo ili machale yake yaendelee kukibeba chama. Makamada piiipooooz.
View attachment 3186158
akale chakula kwa mbowe kivipi alaa?

si ale kwake, huyo kibaraka vip?

yaani ukaribishwe mara moja tu halafu uanze kuweka masharti ya kula kwa familia za watu?

kibaraka ana mawenge sana aise dah 🐒
 
Attachments

  • IMG-20241220-WA0006.jpg
    IMG-20241220-WA0006.jpg
    62 KB · Views: 2
"Hauwezi kuwa msaliti ukasurvive" Magufuli kwenye press.

Siku hiyohiyo Lissu akala shaba zaidi ya 16 mwilini.
Sio siku hiyohiyo muwe mnafuatilia vizuri mambo kabla hamjaongea.
 
akale chakula kwa mbowe kivipi alaa?

si ale kwake, huyo kibaraka vip?

yaani ukaribishwe mara moja tu halafu uanze kuweka masharti ya kula kwa familia za watu?

kibaraka ana mawenge sana aise dah 🐒
Anataka kutuvurugia kikoba chetu huyu.
 
"Hauwezi kuwa msaliti ukasurvive" Magufuli kwenye press.

Siku hiyohiyo Lissu akala shaba zaidi ya 16 mwilini.
Na akapona,msela nondo wa bethlehem misumari mitatu chali!
 
Attachments

  • FB_IMG_1733944219954.jpg
    FB_IMG_1733944219954.jpg
    43.6 KB · Views: 2
Lissu alitengeza mwenyewe hiyo drama. Anawajua waliompiga risasi ni watu wake. Amlete dereva basi aumbuke.
 
Back
Top Bottom