Kwanini Mbowe aliahirisha ghafla safari ya kwenda Dar na siku hiyohiyo Lissu akapigwa risasi?

Jaribu kuuliza askari waliotakiwa kuwa zama siku hiyo na pia camera za eneo la tukio

Huku kuonja sumu kwa ulimi Kuna kulikowahi kutamkwa?



Hata lile tumbo la kuhara akiluongelea dalali Wenje yaweza kuwa haikuwa haba!
 
Askari Lissu anaosema huwa wanakuwa lindo masaa 24 walikuwa wapi akipigwa risasi? Waliondoka saa ngapi na walirudi saa ngapi??
Walikuwa Lunch.
 
"Hauwezi kuwa msaliti ukasurvive" Magufuli kwenye press.

Siku hiyohiyo Lissu akala shaba zaidi ya 16 mwilini.
Na sikuhiyohiyo kabla ya hotuba ya Magufuli, Mbowe aliahirisha ghafla safari ya Dar.
 
Uchaguzi usije ukafanya tukaondoa utu wa mtu, baada ya uchaguzi hayo maneno kuyameza itakuwa ngumu, tuwapime kwa hoja na umahili wao katika uongozi. Lisu amekuwa kiongozi basi tumpime katika nafasi yake aliyokuwa anaitumikia je alifanyaje? je anafaa kupewa nafasi kubwa? kama anafaa apewe, Mbowe tumefahamu katika nafasi yake ya uongozi pia, tumpime anafaa kuendelea au apumzike wajumbe wafanye kazi yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…