Kwanini mfalme Zumaridi anasumbuliwa sana na dola? Uhuru wa kidini uko wapi!?

Wamwache, wanaingilia uhuru wa kuabudu wa waamini wake. mungu yupo selo..πŸ˜‚
 
Uhuru wa kidini kukusanya watoto nakuwakisha uongo?!

Mbona wanaokusanya watoto sunday school na kuwafundisha nyoka anaongea hawakamtwi?

Mbona wanaokusanya watoto madrassa na kuwafundisha farasi anapaa kambeba mtume kwenda mbingu ya saba hawakamatwi ?
 
Nashindwa kuelewa mgonjwa wa akili kama huyu anapewa airtime namna hii na watu wako bize na siriaz kusoma na kusikiliza na kuongea habar zake..huyo anatakiwa atafute mwanaume shoka mwenye uboo kama wa tembo amtombe kisawasawa atapona hayo maujinga yake na atatulia na familia yake
 
Mbona wanaokusanya watoto sunday school na kuwafundisha nyoka anaongea hawakamtwi?

Mbona wanaokusanya watoto madrassa na kuwafundisha farasi anapaa kambeba mtume kwenda mbingu ya saba hawakamatwi ?
Binadamu wa hizi dini mbili wana bias sana na unafki mwingi mno.
 
Ni Mgonjwa wa akili kwako kwa sababu hasemi kama zinavyosema dini zenu mlizozoea.
 
Kesi hamna hapo, itabidi POLISI waje na ushuhuda wa Mungu kama yupo, na shahidi wa huyo Mungu na Mungu mwenyewe waje waseme wapo..
Na POLISI waje na watueleze kwanini ZUMARIDI asijiite Mungu wakati hii nchi haina DINI?
Hii n kama kesi ya Mazinge na kusema "YESU SI MUNGU"
 
Ni Mgonjwa wa akili kwako kwa sababu hasemi kama zinavyosema dini zenu mlizozoea.
Rubbish. Mnaleta mambo ya udini hapa ..dini zimewasaidia nini zaidi ya kuongeza idadi ya wagonjwa wa akili na wapumbavu kuongezeka nchini , hamtaki.kufanya kazi na kutafuta pesa mmekalia.udini na manabii feki wajinga ndio waliwao. Endeleeni kuwapa airtime
 
Serikali imekubali kuwa Nguvu za Mungu zinaweza kununuliwa kwenye Mafuta na Maji lakini mnamkatalia Zumaridi asijiite mungu...
Ni lini mliwapa hao wananchi mnaowalinda ushahidi kuwa kweli kuna nguvu za Mungu kwenye maji na mafuta yanayotangazwa hadharani mbele zenu?
Serikali ijitenge na mambo ya dini kwa jinsi ile ile inavyosema haina dini... Acheni wanaopigwa wapigwe kwa ujinga wao.
 
Kwa hili nakuunga mkono.
 
Huoni kama ndio wanazidi kumkuza kwa kumkamata mara kwa mara
 
....huyo bi mdada ana changamoto ya AFYA ya akili..wangempelela MiLEMBE kwanza
Sio kazi ya polisi kupeleka Mirembe wagonjwa wa akili wasiodhuru watu.
 
Huoni kama ndio wanazidi kumkuza kwa kumkamata mara kwa mara
Sidhani kama yeye anahitaji kukuzwa kwa kukamatwa na kusumbuliwa na polisi kila mara.
 
Ni kweli hakuna kesi ya maana hapo ila watamsumbua na kumpotezea muda sana.
 
Hilo sio kosa kisheria
Kasome penal code sura ya 16
Kifungu cha 129 kanuni za adhabu.
Na 15 na 127 katika penal code.
kuna uhuru wa kuabudu na kujieleza, kujiita Mungu Tanzania si jambo linalochukuliwa kwa wepesi kisheria au kijamii, na linaweza kusababisha mashitaka kulingana na mazingira ya tukio, nia ya mtu, na athari kwa jamii.
Man Up my brother
 
Hakuna penal code yoyote inayoweza kuzuia dini ya miungu watu nchi hii.
 
Kwanini unauita uongo?
Ila nyoka kuongea unaitwa ukweli.
Nyoka gani alieongea?!
Kama yule wa mti wa katikati.
Rudi shule kwanza
Case Closed
Le mbululaz unanipotezea muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…