GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haya Wakubwa zao mlioko hapa JamiiForums itisheni Gwaride la Dharula usiku huu na mkimkuta Mmoja kavimba Uso, Jino lake moja la chini limelegea tayari kwa Kudondoka chini Ardhini na Mguu wake wa Kulia anauburuza jueni Mzanaki na Myao Mimi GENTAMYCINE nimetuma Salamu kuwa wacheze na Washamba kama Wahaya, Wanyiramba, Waha,, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakerewe ila siyo Sisi Watu Maalum kutoka Kwa Wanamume wa Kanda Maalum Mkoa wa Mashujaa watupu wa Mara.
Hakuna kitu GENTAMYCINE nachukia kama kuona Mtu Masikini kama Mimi anaonewa tena akiwa anatafuta Ugali wa Familia yake.
Haiwezekani Mgambo aende Kuchukua Ushuru kwa Mchuuzi wa Kariakoo mara Tatu kwa Siku na akijibiwa kuwa Ushuru umeshatolewa kwa Hasira na Ubabe wa Kipumbavu anabinua Meza ya Mchuuzi na Kumwaga kila kitu chini huku vingine Akivisinya ili Kumkomoa.
Na Kesho kwa Makusudi nitapita tena eneo hilo hilo la Kariakoo jirani na Mtaa wa Kongo ili nione kama bado Mgambo wanaonea na Kunyanyasa Wachuuzi ili niendeleze kutoa Dozi hadi Wanyooke.
Na kwanini 24/7 wao wanakuwa Ndwii?