Kwanini mgeni akiulizwa "unaondoka lini" inakuwa nongwa?

Hiyo sio kauli ya kiungwana.
 
I wish nikutembelee!
vipi can we make an arrangement?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
 
Tulikuwa tunaona kwenye michezo TV watu wakifika mjini wanasahau ndugu zao ndo haya sasa, kuna watu wakifikaga mjini wanajionaga kama wako kwenye bunge la bajeti kila kitu atataka akipigie hesabu hasa wale wenye vipato flani ivii, halafu malofa ya hivi yanaongoza KUHONGA balaa
Unamuuliza ndugu yako utakaa siku ngapi huku dhamira yako ya ndani ni kuexamine damage/burden atakayokuletea huo ni Uchoyo Roho Mbaya tu
Jiulize ukishindwa kumsaidia ndugu yako nani amsaidie?? Ni maana ya undugu, kama huna kitu mwambie kwa staha na hata yy mwenyewe atajionea.

Tuache kuigaiga umagharibi f**ck off.
 
Kumsaidia ndugu si lazima aje akae kwako,unaweza kumsaidia hata akiwa huko kwake.
 
Utasaidiwa kwa Mpesa sio lazima uje ugombanie remote na watoto wa dada yako.
 
Lililopo kwenye jamii ya kiafrika ni kitembeleana, ila sio kuulizana unaondoka lini.
 
Imeandikwa:
β€œ Iweni wakarimu kwa wageni sababu kwa kufanya hivyo wengine waliweza kukaribisha Malaika wa Mungu”

Malaika wa Mungu aingiapo kwenye nyumba wengi tunafahamu mojawapo ni kuleta majibu ya yale tuyaombayo/tuyaotayo/tuyatamanio kitokea!
 
Kuishi na wageni ni mtihani!

Bila upendo wengi wanashindwa!
 
Utasaidiwa kwa Mpesa sio lazima uje ugombanie remote na watoto wa dada yako.
Usiwe shortminded ndugu yangu kwani msaada ni pesa tu, kwani unafikiri kila atakayekuja kwako atahitaji pesa tu na vipi akija kwako ilihali amekuzidi kipato bado utamuuliza hilo swali??

lets say uko Dsm ndugu yako akahitaji clinic ya matibabu ya mwezi pale muhimbili utakataaa??
Akija kwako anahitaji kupumzika baada ya ugomvi wa mke/mume wake utakataa??
Akija kwako kukaa kufanya field ndani ya eneo ulilopo utakataa??

N.B Kuna vitu tumevikuta kwenye jamii hatuna budi kuvienzi
 
Kwa mgonjwa sawa ila hawa wengine hapana.

Ndoa nyingi zimevunjika sababu ya kukaa na ndugu, vijana wengi hawafanyi kazi wala kuumiza vichwa kwa kuwa wanaishi kwa ndugu na wanapata kila kitu.
 
Kwa mgonjwa sawa ila hawa wengine hapana.

Ndoa nyingi zimevunjika sababu ya kukaa na ndugu, vijana wengi hawafanyi kazi wala kuumiza vichwa kwa kuwa wanaishi kwa ndugu na wanapata kila kitu.
Usiishi kwa nadharia, hao vijana mnaosema hawajitumi mshawahi kuwapa darasa ya kujituma na umuhimu wake, mshawapa mitaji au idea za kuweza kujikamua wakaondoka hapo kwenu.

Ndoa ni ya watu wawili ikivunjika ni mapungufu yenu.
 
Braza alniulzaga nlvyofka kwake hata cjaoga nkamwambia nalala kesho naptlza wakat nlkua nahtaj kukaa 2 wks nlihamia gest ya 8000
 
hiyo let say ni sababu tosha,na inajulikana mazingira yaliyomuweka ndugu na unajipanga namna ya kumsadia. Na unajua shida ikiisha ataondoka
 
Kiukweli kuna umuhimu wa kujua mgeni atakaa kwa muda gani ili ujue unajipanga vipi ila kumuuliza mtu sio vzuri hatopokea ilo swali vizuri.
Mie nachofanya hua nikienda kwa mtu nawahi kuwambia mwenyewe kua nitakaa kwa muda flani ili ajue kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…