Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

Hili jamaa ni puuzi tu halina hadhi ya kuwa JF member
 
Kabla ya uhuru mgogoro wa kukaa mwarabu ulikuwepo? Hapo nani alikuwa anaratibu suala hilo? Mkoloni vs wamasai na ukadumu hadi leo? Mnakuwa stupid hadi mnapitiliza kisa mnavaa ushingi wa kiarabu nyote.
 
Kwani alikuw hajui kuwa kuna mgogoro ambao haujapata ufumbuzi?
 
Reactions: Qwy
Kwani alikuw hajui kuwa kuna mgogoro ambao haujapata ufumbuzi?
Uliibuka kipindi chake? Unapoibuliwa ndo ufanyiwe ufumbuzi, walikaa kimya kwa kujua hatutatoboa. Kesi ili itatuliwe pande ya mdai ndo inaraise siyo wewe mdaiwa ndo useme kuna hili. Walikaa kimya wakijua hatutatoboa ila kaingia wakala wao wakalianzisha tena.
 
Ukimsikiliza Old Moshi ndio utajua awamu ya Mwendazake walishikwa papaya,nikajiuliza mbona awamu nyingine hatukumsikia Fatma Karume wala Maria Sarungi wakipiga kelele manake kulikuwa na ufisadi wa kutisha,Ulimboka kutekwa kutolewa meno na kucha, boss wa home shopping center na kubenea kumwagiwa tindikali etc hatukuwasikia kabisa.

Ila awamu ya Magu waliibuka kwa kasi baada ya Mwendazake kutangulia mbele ya haki siku hizi wapo kimya kazi yao ni kusifia, kucharulana na wale wenzao waliokuwa pamoja kipindi cha Mwendazake (Chadema na ACT) ndio utajua kabla ya Magu kuingia walikuwa wanalamba asali, Magu kuingia akakata mirija ya asali na ndio maana kelele zilikuwa nyingi. Sasa hivi wanaendelea kula asali wao na wazazi wao. Kama kawaida tulivyokuwa watoto tulifundishwa kwamba ukiwa unakula hutakiwi kuongea.

So mpaka unamuona Maria Sarungi na Fatma wapo kimya basi nao wapo kwenye mirija ya ulaji na ulambaji asali.
 
Wenye maoni yaliyoegemea uhifadhi naomba watambue kuwa ufugaji maeneo ya hifadhi haipingani na uhifadhi........ in fact ni njia ya mojawapo kuhifadhi na kulinda pia

 
Hata huyo marehemu wako hana lolote,kama unakiri kuwa mzozo huo upo tangu enzi za Mwinyi ikimaanisha hata wakati wake huyo mtu wako huo mzozo ulikuwepo jee yeye alifanya juhudi gani kuutatua? Wacha hizo
Ana tabia kama za mke mwenza, anapenda sana majungu na fitina za mitandaoni. Anaishi na machungu.
 
Hakuna atakayekufuza kwenye nchi yako. Tatizo la mawazo kama haya siku zote hayana ushawishi mbele ya watumakini kwani hayajitoshelezi.

Nani akufukuze ndani ya nchi yako mwenyewe?. Ataanzia wapi kufanya hivyo na wewe na viongozi wako mpo wapi mpaka mnafukuzwa au kugeuzwa watumwa ndani ya nchi yenu wenyewe?.

Maendeleo siku zote ni ujanja na utafutaji, ukikaa tu na utajiri wako utadumu na umasikini wako lazima ufanye movements za kueleweka ili angalau uweze kufaidika na hicho ulichopewa na Mungu.

Kama huna maendeleo ya kisayansi na huonyeshi juhudi ya kuyapata basi utakufa na umasikini wako, hakuna wa kuja kukuinua.

Kwamba kila anayekuja kutaka kuwekeza unamuita mwizi, huyo mwekezaji atakwenda nchi nyingine na kukuacha na ulofa wako.
 
Kitaeleweka.

Suala la Loliondo gate lilijadiliwa kwa upana na staha.

Kwa wale wanaoleta matusi kejeli na vifijo visivyo na miguu wala mikono-ni waficha ukweli-wanaficha maovu yao kwa kudai maovu ya wengini ndio maovu.

Wataeleweka.

Kwa wanaotafuta kulielewa hili jambo, chukua mda kuperuzi humu ndani, jichotee taarifa halafu uchanganye na zingine upate maarifa badala ya bughudha za waleta porojo.

Amani iwafikie.
Kazi Inaendelea. And there is nothing you can do about it. Mwenye kuelewa aelewe.

Aluta Continua.
 
Ji evaluate wewe uone ulivyo mtupu kichwani. JPM was the best ever! Usipouona huo ukweli wewe ni wa kuhurumiwa
Wewe mbwiga kama ulimuona hivyo usilazimishe kila mtu amuone hivyo. Kwangu mimi yule ni shetani tu na huna uwezo wa kunibadilisha nione tofauti. Ndiyo maana huyo ibilisi alikuwa anaua wenye kutofautiana naye.
 
Hilo la kubadili katiba unapotosha, mzalendo namba moja hakuwahi kuwazia hilo. Wabunge walichaguliwa na wananchi. Wao wanatakiwa wawe na meno kwa maslahi ya taifa. Usimsingimzie mzalendo namba moja. Sasa hivi mnauzwa kama nguruwe.

Unadhani hili la yeye kutaka kubadili katiba lilikuwa na kificho, ama ule uhayawani uliotokea kwenye uchaguzi hatukuuona? Mzalendo namba moja labda kwenu nyie sukuma gang. Kama hao wabunge walichaliwa na wananchi uzito unatoka wapi kutetea maslahi ya wananchi?
 
Kwani Magufuli aliwahi kufanya ziara huko Oman?

Mama alikwenda Uarabuni, karudi na mgogoro.
 
Nasikia kwa mbaali sauti ya JYN, "Kuna siku nchi itapigwa mnada hii"
Halafu nimebaki tu natafakari
Polepole pia alisema kuwa, mnaweza kudhani mna serikali, kumbe kuna kikundi cha wahuni ndio wanaoiongoza serikali yenu.
 
Alitumika kumpinga Magufuli. Kazi alishamaliza.
 
Kuna watu ni kama wanamuabudu Magufuli ndio maana wanamsifu kwa kila kitu kwao wao wanamuona alikuwa mtakatifu hivyo yote aliyoyafanya ni mazuri tu, inashangaza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…