Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Aliwajaza kwa falsafa zake, lakini kwa huyu vasco da gama wanaona bora liende tu.Dhalimu alijaza wabunge wa CCM bungeni kwa kisingizio kuwa ni wazalendo, mbona hawapingi kinachofanywa na serikali huko bungeni?