macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Narudia Magufuli hakuwa na upeo. Kwani unadhani mtu asiye na upeo kuna mambo hapatii angalau kwa muda? Kutokuwa na upeo ni kutoweza ku-focus na kuona miaka kumi baadae au kama alivyokuwa rais, kutokuweza kujua akiondoka mambo yatakuwaje! Kwa kifupi alitakiwa kuona beyond his time as a president! Hivi rais mwenye upeo atataka wabunge wote wawe wa chama kimoja? Hivi rais mwenye upeo atasema watu wanaohoji elimu yake au kumkosoa wauawe?macho_mdiliko unaongea kwa chuki au unaleta ushabiki? Wewe ni mmoja ya wanaJF makini tumia akili zako vizuri.
Kwa reforms alizofanya kwa muda mfupi, alafu unasema hakuwa na uwezo wa kuongoza?
Unadhani ukipanic ndio inaondoa ukweli kwa dhalimu alijaza wabunge wa CCM bungeni, lengo ni ili wabadili katiba ili yeye aendelee kukaa madarakani zaidi ya 10yrs? Matokeo yake yeye yuko ahera madukani muda huu, kisha katuachia bunge kibogoyo ambalo haliwezi kuhoji uhuni wowote wa serikali. Kibaya zaidi mpaka mbunge wa jimbo husika yuko kimya, na hata yeye hajahama huko ngorongoro kwenda handeni ambako wananchi anaowakilisha wanatakiwa wahamie.
Kitu ambacho nina uhakika nacho kwa asilimia mia ni kuwa wewe ni taahira
Kuna watu ni kama wanamuabudu Magufuli ndio maana wanamsifu kwa kila kitu kwao wao wanamuona alikuwa mtakatifu hivyo yote aliyoyafanya ni mazuri tu, inashangaza sana.
Jamani punguzeni hasira na nyinyi.Unashangaa wanaomuabudu Magufuli wakati kuna wengine wamekifanya miungu kabisa wao wanamuhukumu huyo Magufuli, wanamwita shetani hana jema hata moja na washamuhukumu motoni.
Unadhani ukipanic ndio inaondoa ukweli kwa dhalimu alijaza wabunge wa CCM bungeni, lengo ni ili wabadili katiba ili yeye aendelee kukaa madarakani zaidi ya 10yrs? Matokeo yake yeye yuko ahera madukani muda huu, kisha katuachia bunge kibogoyo ambalo haliwezi kuhoji uhuni wowote wa serikali. Kibaya zaidi mpaka mbunge wa jimbo husika yuko kimya, na hata yeye hajahama huko ngorongoro kwenda handeni ambako wananchi anaowakilisha wanatakiwa wahamie.
Kitu ambacho nina uhakika nacho kwa asilimia mia ni kuwa wewe ni taahira
Kuna watu ni kama wanamuabudu Magufuli ndio maana wanamsifu kwa kila kitu kwao wao wanamuona alikuwa mtakatifu hivyo yote aliyoyafanya ni mazuri tu, inashangaza sana.
Jamani punguzeni hasira na nyinyi.Unashangaa wanaomuabudu Magufuli wakati kuna wengine wamekifanya miungu kabisa wao wanamuhukumu huyo Magufuli, wanamwita shetani hana jema hata moja na washamuhukumu motoni.
Umemjibu vizuri sana huyo mchepuko wa MagufuliNarudia Magufuli hakuwa na upeo. Kwani unadhani mtu asiye na upeo kuna mambo hapatii angalau kwa muda? Kutokuwa na upeo ni kutoweza ku-focus na kuona miaka kumi baadae au kama alivyokuwa rais, kutokuweza kujua akiondoka mambo yatakuwaje! Kwa kifupi alitakiwa kuona beyond his time as a president! Hivi rais mwenye upeo atataka wabunge wote wawe wa chama kimoja? Hivi rais mwenye upeo atasema watu wanaohoji elimu yake au kumkosoa wauawe?
U-stupid wako Wewe ni kwamba Una upeo mdogo wa mambo! Lakini kama ungekua unafiatilia mijadala mbalimbali humu JF, ungeelewa pia kwamba mimi sipo na Mwarabu! Ninapinga Wamaasai kuhamishwa kwenye eneo lao, tatizo kwenye hii thread, huyu sukumagang, nyankurungu, anataka kutuaminisha kwamba mgogoro huu usingekuwepo wakati wa Magu, kwamba Mazaa ndo mwanzilishi! Hicho ndo sikubaliani nacho!Kabla ya uhuru mgogoro wa kukaa mwarabu ulikuwepo? Hapo nani alikuwa anaratibu suala hilo? Mkoloni vs wamasai na ukadumu hadi leo? Mnakuwa stupid hadi mnapitiliza kisa mnavaa ushingi wa kiarabu nyote.
Hivi alitaka wabunge wote wawe Ccm? Au wananchi walichagua?Narudia Magufuli hakuwa na upeo. Kwani unadhani mtu asiye na upeo kuna mambo hapatii angalau kwa muda? Kutokuwa na upeo ni kutoweza ku-focus na kuona miaka kumi baadae au kama alivyokuwa rais, kutokuweza kujua akiondoka mambo yatakuwaje! Kwa kifupi alitakiwa kuona beyond his time as a president! Hivi rais mwenye upeo atataka wabunge wote wawe wa chama kimoja? Hivi rais mwenye upeo atasema watu wanaohoji elimu yake au kumkosoa wauawe?
Magufuli ni mjinga tuu alikuwa muoga wa ku face reality kwa sababu hajiamini na analazimisha kupendwa..Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Mbona sasa hivi hawajabadilishaMbona hakubatilisha mkataba wa hao waarabu, mbona hakuwafukuza? Nonsense
Lack of educationMagufuli ni mjinga tuu alikuwa muoga wa ku face reality kwa sababu hajiamini na analazimisha kupendwa..
Hilo la Ngorongoro alilifumbia macho kama tuu ambavyo alifumbia macho kuzagaa hovyo kwa machinga..
Magufuli aliruhusu hadi Polisi kuchukua rushwa akisema ni vihela vidogo vidogo...
Zaidi ya propaganda hakuna kitu chochote cha maana alifanya..
Namkubali Rais Samia Kwa sababu hana mda wa kufanya cheap politics,kulazimisha kupendwa kwa maigizo na yuko straight kama ni nyeusi ni nyeusi tuu..
Masai lazima wapishe,haiingii akikini wanaharibu hifadhi Kisa nini?
Ngorongoro ilikua sehemu ya Serengeti hadi mwaka 1959, ambapo ilipandishwa hashindi na kutengwa na Serengeti. Wakati huo huo Wamaasai 9000 walihamishwa toka Serengeti kwenda Ngorongoro, wakiwa na mifugo 50,000. Hiyo ni kabla ya uhuru, na migogoro imekuwepo wakati wote!Acha kupotosha umma. Tumepata uhuru mwaka 1961 sakata la Ngorongoro limeanza mwaka 1993.
Tutajie ambae mauaji hayakutokea akiwa kwenye uongoziMagufuli alikuwa anajali wananchi wa kawaida. Ila tatizo ni kuwa upeo wake wa kuona mambo ulikuwa finyu sana. Kiufupi hakuwa na upeo wa kuweza kuongoza nchi halafu alikuwa mbishi, asiyependa kukosolewa na alipenda kutumia nguvu na hata kuua.
Umeandika malalamiko matupu, hakuna wa kusubiri upate akili ili aje akueleweshe wewe na wanaokuhusu juu ya umuhimu wa kutafuta maendeleo.Kwa nini wa masai wamefukuzwa na wapo ndani ya Nchi yao ?.Hii takataka ya LNG iwekwe wazi ili watu wajue kama inafaida kwetu na kama haina faida ifutwe kabisa .
Tumeona miradi mingi imekuwa ikichangia umaskini sana kwa kuwa huwa ni hasara kwa taifa kutokana na kukosa viongozi makini ambao hawasimamii rasilimali kama wa awamu ya sasa.mfano Gesi ya mtwara mnufaika ni beberu,dhahabu buzwagi,geita na kwingineko tumeachiwa mashimo tu beberu kachukua chake mapema na mingine mingi tu.Ni bora rasilimali isivunwe kuliko kusumbua watu kuwahamisha maeneo yao ya asili waiyozoea huku rasilimali ikinufaisha wawekezaji uchwara tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wenyewe ndio wanaowafuata hao wawekezaji, kuna tatizo miongoni mwetu ndio maana tunawafuata hao wawekezaji.Ni ujinga kudhani nchi inaendelezwa na wawekezaji. Wavivu na wazembe ndiyo hudhani kualika wageni kwa wingi ndiyo kuendeleza nchi.
Kama unaona hiyo ni sawa basi hii Nchi inawajinga wengi sana wanaoona kama wanauelewa wa mambo kumbe weupe kichwaniUmeandika malalamiko matupu, hakuna wa kusubiri upate akili ili aje akueleweshe wewe na wanaokuhusu juu ya umuhimu wa kutafuta maendeleo.
Dunia hii ni katili sana, ukiwa na akili negative unaachwa hivyo hivyo watu wanakwenda kwingine kwa wenye utulivu vichwani.
Umeulizwa kwanini jambo halikuibuka enzi za Jiwe?Dhalimu alijaza wabunge wa CCM bungeni kwa kisingizio kuwa ni wazalendo, mbona hawapingi kinachofanywa na serikali huko bungeni?
Huyo jamaa amejitoa ufahamu na kujipa kazi ya kumnenea mabaya Rais Samia hata kwenye mambo ya uwongo ilimradi tu ampambe Yule dhalim aliyeko jehanam sasaNgorongoro ilikua sehemu ya Serengeti hadi mwaka 1959, ambapo ilipandishwa hashindi na kutengwa na Serengeti. Wakati huo huo Wamaasai 9000 walihamishwa toka Serengeti kwenda Ngorongoro, wakiwa na mifugo 50,000. Hiyo ni kabla ya uhuru, na migogoro imekuwepo wakati wote!
Lakini hata ingekuwa kweli kwamba, sakata la Ngorongoro limeanza 1993, Wewe ni mpotoshaji! Mada yako unataka kumlaumu Samia, ukihoji kwanini hakukuwa na mgogoro wakati wa Magu! Unamaanisha, Samia alikuwa raisi tangu 1993?!
Umeulizwa kwanini jambo halikuibuka enzi za Jiwe?
Hebu jibu hilo swali ewe mtu mwenye str3ss za jiwe
Alishindwa kuumaliza mgogoro kwa sababu ccm ni wale wale.Hata huyo marehemu wako hana lolote,kama unakiri kuwa mzozo huo upo tangu enzi za Mwinyi ikimaanisha hata wakati wake huyo mtu wako huo mzozo ulikuwepo jee yeye alifanya juhudi gani kuutatua? Wacha hizo
Huyu jamaa uliyemjibu ni mjinga sana humu JF hana elimu lakini anapenda kudandia mada za wakubwaKama unaona hiyo ni sawa basi hii inchi inawajinga wengi sana wanaoona kama wanauelewa wa mambo kumbe weupe kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app