Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

macho_mdiliko unaongea kwa chuki au unaleta ushabiki? Wewe ni mmoja ya wanaJF makini tumia akili zako vizuri.

Kwa reforms alizofanya kwa muda mfupi, alafu unasema hakuwa na uwezo wa kuongoza?
Narudia Magufuli hakuwa na upeo. Kwani unadhani mtu asiye na upeo kuna mambo hapatii angalau kwa muda? Kutokuwa na upeo ni kutoweza ku-focus na kuona miaka kumi baadae au kama alivyokuwa rais, kutokuweza kujua akiondoka mambo yatakuwaje! Kwa kifupi alitakiwa kuona beyond his time as a president! Hivi rais mwenye upeo atataka wabunge wote wawe wa chama kimoja? Hivi rais mwenye upeo atasema watu wanaohoji elimu yake au kumkosoa wauawe?
 
Unadhani ukipanic ndio inaondoa ukweli kwa dhalimu alijaza wabunge wa CCM bungeni, lengo ni ili wabadili katiba ili yeye aendelee kukaa madarakani zaidi ya 10yrs? Matokeo yake yeye yuko ahera madukani muda huu, kisha katuachia bunge kibogoyo ambalo haliwezi kuhoji uhuni wowote wa serikali. Kibaya zaidi mpaka mbunge wa jimbo husika yuko kimya, na hata yeye hajahama huko ngorongoro kwenda handeni ambako wananchi anaowakilisha wanatakiwa wahamie.

Kitu ambacho nina uhakika nacho kwa asilimia mia ni kuwa wewe ni taahira

Kuna watu ni kama wanamuabudu Magufuli ndio maana wanamsifu kwa kila kitu kwao wao wanamuona alikuwa mtakatifu hivyo yote aliyoyafanya ni mazuri tu, inashangaza sana.

Unashangaa wanaomuabudu Magufuli wakati kuna wengine wamekifanya miungu kabisa wao wanamuhukumu huyo Magufuli, wanamwita shetani hana jema hata moja na washamuhukumu motoni.
Jamani punguzeni hasira na nyinyi.
 
Umemjibu vizuri sana huyo mchepuko wa Magufuli
 
Sasa hv nchi imegawanyika ktk makundi matatu....kwa kuangalia michango ya members humu utaligundua hilo

A.) Ccm ya walamba asali na walamba asali nje ya ccm

B.) Ccm ya fikra za hayati na wasio wa ccm wanaoamini fikra za hayati

C.) Wapingaji wa mfumo A na B
 
Kabla ya uhuru mgogoro wa kukaa mwarabu ulikuwepo? Hapo nani alikuwa anaratibu suala hilo? Mkoloni vs wamasai na ukadumu hadi leo? Mnakuwa stupid hadi mnapitiliza kisa mnavaa ushingi wa kiarabu nyote.
U-stupid wako Wewe ni kwamba Una upeo mdogo wa mambo! Lakini kama ungekua unafiatilia mijadala mbalimbali humu JF, ungeelewa pia kwamba mimi sipo na Mwarabu! Ninapinga Wamaasai kuhamishwa kwenye eneo lao, tatizo kwenye hii thread, huyu sukumagang, nyankurungu, anataka kutuaminisha kwamba mgogoro huu usingekuwepo wakati wa Magu, kwamba Mazaa ndo mwanzilishi! Hicho ndo sikubaliani nacho!
Pia kwa taarifa yako na yeye, Wamaasai 9,000 walihamishwa toka Serengeti kwenda Ngorongoro, mwaka 1959, wakiwa na mifugo yao. Hivyo, mgogoro ulizaanza kabla ya uhuru, hili suala la sasa ni mwendelezo tu wa migogoro ya siku nyingi!
 
Narudia Magufuli hakuwa na upeo. Kwani unadhani mtu asiye na upeo kuna mambo hapatii angalau kwa muda? Kutokuwa na upeo ni kutoweza ku-focus na kuona miaka kumi baadae au kama alivyokuwa rais, kutokuweza kujua akiondoka mambo yatakuwaje! Kwa kifupi alitakiwa kuona beyond his time as a president! Hivi rais mwenye upeo atataka wabunge wote wawe wa chama kimoja? Hivi rais mwenye upeo atasema watu wanaohoji elimu yake au kumkosoa wauawe?
Hivi alitaka wabunge wote wawe Ccm? Au wananchi walichagua?

Kuhusu kuua watu unao ushahidi?
 
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?

Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?

Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.

Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Magufuli ni mjinga tuu alikuwa muoga wa ku face reality kwa sababu hajiamini na analazimisha kupendwa..

Hilo la Ngorongoro alilifumbia macho kama tuu ambavyo alifumbia macho kuzagaa hovyo kwa machinga..

Magufuli aliruhusu hadi Polisi kuchukua rushwa akisema ni vihela vidogo vidogo...

Zaidi ya propaganda hakuna kitu chochote cha maana alifanya..

Namkubali Rais Samia Kwa sababu hana mda wa kufanya cheap politics,kulazimisha kupendwa kwa maigizo na yuko straight kama ni nyeusi ni nyeusi tuu..

Masai lazima wapishe,haiingii akikini wanaharibu hifadhi Kisa nini?
 
Lack of education
 
Acha kupotosha umma. Tumepata uhuru mwaka 1961 sakata la Ngorongoro limeanza mwaka 1993.
Ngorongoro ilikua sehemu ya Serengeti hadi mwaka 1959, ambapo ilipandishwa hashindi na kutengwa na Serengeti. Wakati huo huo Wamaasai 9000 walihamishwa toka Serengeti kwenda Ngorongoro, wakiwa na mifugo 50,000. Hiyo ni kabla ya uhuru, na migogoro imekuwepo wakati wote!
Lakini hata ingekuwa kweli kwamba, sakata la Ngorongoro limeanza 1993, Wewe ni mpotoshaji! Mada yako unataka kumlaumu Samia, ukihoji kwanini hakukuwa na mgogoro wakati wa Magu! Unamaanisha, Samia alikuwa raisi tangu 1993?!
 
Magufuli alikuwa anajali wananchi wa kawaida. Ila tatizo ni kuwa upeo wake wa kuona mambo ulikuwa finyu sana. Kiufupi hakuwa na upeo wa kuweza kuongoza nchi halafu alikuwa mbishi, asiyependa kukosolewa na alipenda kutumia nguvu na hata kuua.
Tutajie ambae mauaji hayakutokea akiwa kwenye uongozi
 
Kwa nini wa masai wamefukuzwa na wapo ndani ya Nchi yao ?.Hii takataka ya LNG iwekwe wazi ili watu wajue kama inafaida kwetu na kama haina faida ifutwe kabisa .

Tumeona miradi mingi imekuwa ikichangia umaskini sana kwa kuwa huwa ni hasara kwa taifa kutokana na kukosa viongozi makini ambao hawasimamii rasilimali kama wa awamu ya sasa.mfano Gesi ya mtwara mnufaika ni beberu,dhahabu buzwagi,geita na kwingineko tumeachiwa mashimo tu beberu kachukua chake mapema na mingine mingi tu.Ni bora rasilimali isivunwe kuliko kusumbua watu kuwahamisha maeneo yao ya asili waiyozoea huku rasilimali ikinufaisha wawekezaji uchwara tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika malalamiko matupu, hakuna wa kusubiri upate akili ili aje akueleweshe wewe na wanaokuhusu juu ya umuhimu wa kutafuta maendeleo.

Dunia hii ni katili sana, ukiwa na akili negative unaachwa hivyo hivyo watu wanakwenda kwingine kwa wenye utulivu vichwani.
 
Ni ujinga kudhani nchi inaendelezwa na wawekezaji. Wavivu na wazembe ndiyo hudhani kualika wageni kwa wingi ndiyo kuendeleza nchi.
Sisi wenyewe ndio wanaowafuata hao wawekezaji, kuna tatizo miongoni mwetu ndio maana tunawafuata hao wawekezaji.

Mwalimu Nyerere alikuwa na akili kama hizi za kwako, lakini mwisho wa siku akanyoosha mikono kwa hao hao wawekezaji.
 
Umeandika malalamiko matupu, hakuna wa kusubiri upate akili ili aje akueleweshe wewe na wanaokuhusu juu ya umuhimu wa kutafuta maendeleo.

Dunia hii ni katili sana, ukiwa na akili negative unaachwa hivyo hivyo watu wanakwenda kwingine kwa wenye utulivu vichwani.
Kama unaona hiyo ni sawa basi hii Nchi inawajinga wengi sana wanaoona kama wanauelewa wa mambo kumbe weupe kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngorongoro ilikua sehemu ya Serengeti hadi mwaka 1959, ambapo ilipandishwa hashindi na kutengwa na Serengeti. Wakati huo huo Wamaasai 9000 walihamishwa toka Serengeti kwenda Ngorongoro, wakiwa na mifugo 50,000. Hiyo ni kabla ya uhuru, na migogoro imekuwepo wakati wote!
Lakini hata ingekuwa kweli kwamba, sakata la Ngorongoro limeanza 1993, Wewe ni mpotoshaji! Mada yako unataka kumlaumu Samia, ukihoji kwanini hakukuwa na mgogoro wakati wa Magu! Unamaanisha, Samia alikuwa raisi tangu 1993?!
Huyo jamaa amejitoa ufahamu na kujipa kazi ya kumnenea mabaya Rais Samia hata kwenye mambo ya uwongo ilimradi tu ampambe Yule dhalim aliyeko jehanam sasa
 
Back
Top Bottom