Haha haaaaaaa we umekomeshaaa eti kiwango cha kempisk[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii mada ina ukweli 100% ukienda kwenye migahawa ya waswahili misosi Yao ni ya kiwango cha juu, mi mwenyewe nina mpango wa kumuoa muislam nimbadilishe dini awe ananipikia misosi ya viwango vya kempisky na Serena
Lazima tuelewe kwamba mtu mwenye akili timamu hawezi kutoa adhabu rahisi kwa aliyemkosea. Unatoa adhabu ili kwamba anayeadhibiwa hasahau na harudii kosa. Mathalani, iwapo watu wa kale walimkosea mwenyezi Mungu na Mungu angeamua kutoa adhabu ya kutokula mchicha au kisamvu, unadhamu binadamu angeshika adabu yake. Mungu alitoa adhabu kuzuia watu wasile kitimoto kwa kuwa kina utamu usio kifani na kwamba kwa kuwazuia wasile ilikuwa adhabu sahihi. Na ndo Maana hata ndugu zetu wanaovua kofia kwenye kona na kitimoto na kupiga marufuku kuitana majina hawa walionja na wakaona kama noma na iwe noma. Hawawezi kuacha kitimoto.Hakuna msosi mtamu kama rosti ya Kitimoto...
Hii lishe bora inatengenezwa na waislamu???
Hakuna Mungu aliyekataza kitimoto kuliwa. Mungu wa wapi huyo??Lazima tuelewe kwamba mtu mwenye akili timamu hawezi kutoa adhabu rahisi kwa aliyemkosea. Unatoa adhabu ili kwamba anayeadhibiwa hasahau na harudii kosa. Mathalani, iwapo watu wa kale walimkosea mwenyezi Mungu na Mungu angeamua kutoa adhabu ya kutokula mchicha au kisamvu, unadhamu binadamu angeshika adabu yake. Mungu alitoa adhabu kuzuia watu wasile kitimoto kwa kuwa kina utamu usio kifani na kwamba kwa kuwazuia wasile ilikuwa adhabu sahihi. Na ndo Maana hata ndugu zetu wanaovua kofia kwenye kona na kitimoto na kupiga marufuku kuitana majina hawa walionja na wakaona kama noma na iwe noma. Hawawezi kuacha kitimoto.
Pia dhambi ya uasherati na uzinzi, Mungu kaweka masharti na makatazo makali katika hili kwa kuweka kushinda dhambi hii unaweza kuzishinda dhambi zingine kirahisi. Hivyo kitimoto kiache kiitwe kitimoto. Hakihitaji ufundi mkubwa kukiandaa kama ilivyo kwa vitoeo vingine. Kikubwa, sina uhakika iwapo kuna uhusiano kati ya imani za kidini na upishi.
Ila kwa ujumla, kwa mlio tembelea nchi za Asia, ulaya na marekani. Asian food is the best. Be it spicy, hot or not. Wako vizuri.
We dini gani kwani?Mimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
si makorokoro kuwa muwazi tu kuwa NI WAJUZI WA.MAPISHI NA MATUMIZI SAHIHI YA VIUNGO!Hawana makorokoro mengi kama ya waislam
we utakuwa upo kwa Mama N'tilie kakujazia wali wenye hamira na nyama ya Faru John basi umeshiba unasifia wee kama vile hutopata njaa tena
Mkuu ni kweli juu ya ndizi na mahindi, Latin America hicho bado ni chakula chao kikuu. Unshabatlri kuwa matoke yalitoka India?Naomba nihuishe hii mada.
Ni kweli watu wa pwani - wengi wao waislamu ambao ni utamaduni wa waarabu - wana mapishi bora zaidi. Hiyo ni kwenye michele na ngano. Wana uzoefu wa miaka zaidi ya 10,000 kwenye mazao hayo.
Asilimia labda zaidi ya 70 ya nafaka na nyama tunazokula duniani chanzo chake ni uarabuni. Ikiwemo nguruwe. Google eneo linaitwa Fertile Crescent. Japo mchele una utata kdg.
Afrika tuna mihogo na magimbi kujivunia. Mihogo pia inapikwa vzr zaidi pwani kuliko bara. Ndizi na mahindi ni vya waamerika wa kale. Kuku na mbwa ni China. Viazi ulaya ni Ulaya n.k. n.k.
Kwa historia hizo huwezi kuwazidi waanzilishi wa zao fulani kwenye mapishi ya mazao yao.
MkuuMimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Kila mtu anajua kupika kufuatana na jamii yake inapenda chakula gani. Kuna watu hawapendi pilau wala biriani wanasema kin a mafuta mengi.mimi ni mkristo,,,,,huu ni ukweli usiofichika,,,, waislamu wanajua kupika