Mimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Mkuu
Kwanza siamin kama ww n mkristo
Lakin pia hata ukiwa n mkristo bx lengo na dhamira yako ktk uzi huu n lengo lisilo na hekima ndan yake
Hebu tuwe tuna adab na iman za watu
Am a moslem
Huwa napenda kuheshim iman, itikad, falsafa za watu
Thats dignity, huo ndo utu
Mm n muislam nmelelewa na walutheri
Cjawah ona, sikia, wala kujua kuwa kuna chakula cha kikristo au cha waislam
Cjawah kuona aina fulan ya mapish au vyakula vikinasibishwa na din fulan
Maana din inatoa mafundisho kwny vitab yan taurat, injil, zabur, qur'an and the rest
Hakuna mahal ktk vitab hivyo kunakofundisha kupika vyakula fulan
Bali upish huambatanishwa na kufungamanishwa na eneo, mazingira,hali ya hewa n.k
So wot do mean by migahawa ya wakristo
Respect Respect Respect!!!!!