Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

Hii mada ina ukweli 100% ukienda kwenye migahawa ya waswahili misosi Yao ni ya kiwango cha juu, mi mwenyewe nina mpango wa kumuoa muislam nimbadilishe dini awe ananipikia misosi ya viwango vya kempisky na Serena
Haha haaaaaaa we umekomeshaaa eti kiwango cha kempisk[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna msosi mtamu kama rosti ya Kitimoto...

Hii lishe bora inatengenezwa na waislamu???
Lazima tuelewe kwamba mtu mwenye akili timamu hawezi kutoa adhabu rahisi kwa aliyemkosea. Unatoa adhabu ili kwamba anayeadhibiwa hasahau na harudii kosa. Mathalani, iwapo watu wa kale walimkosea mwenyezi Mungu na Mungu angeamua kutoa adhabu ya kutokula mchicha au kisamvu, unadhamu binadamu angeshika adabu yake. Mungu alitoa adhabu kuzuia watu wasile kitimoto kwa kuwa kina utamu usio kifani na kwamba kwa kuwazuia wasile ilikuwa adhabu sahihi. Na ndo Maana hata ndugu zetu wanaovua kofia kwenye kona na kitimoto na kupiga marufuku kuitana majina hawa walionja na wakaona kama noma na iwe noma. Hawawezi kuacha kitimoto.
Pia dhambi ya uasherati na uzinzi, Mungu kaweka masharti na makatazo makali katika hili kwa kuweka kushinda dhambi hii unaweza kuzishinda dhambi zingine kirahisi. Hivyo kitimoto kiache kiitwe kitimoto. Hakihitaji ufundi mkubwa kukiandaa kama ilivyo kwa vitoeo vingine. Kikubwa, sina uhakika iwapo kuna uhusiano kati ya imani za kidini na upishi.
Ila kwa ujumla, kwa mlio tembelea nchi za Asia, ulaya na marekani. Asian food is the best. Be it spicy, hot or not. Wako vizuri.
 
Hakuna Mungu aliyekataza kitimoto kuliwa. Mungu wa wapi huyo??
 
Mimi ni Mkristo!

Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!

Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
We dini gani kwani?
 
Mnyama asiye cheua anakatazwa kwa mujibu wa agano la kale lakini Yesu akabariki vyote kwa maelezo kwamba huwezi kuharamisha kilichoumbwa na Mungu lakini pia haramu ni kile kimtokacho mti na sio kimuingiacho mfano matusi, chuki na mengine yafananayo na hayo.
 
Hizi thread za ku-generalize watu wote wa dini fulani hawajui kitu fulani huwa nazichukia sana!!
 
Naomba nihuishe hii mada.

Ni kweli watu wa pwani - wengi wao waislamu ambao ni utamaduni wa waarabu - wana mapishi bora zaidi. Hiyo ni kwenye michele na ngano. Wana uzoefu wa miaka zaidi ya 10,000 kwenye mazao hayo.

Asilimia labda zaidi ya 70 ya nafaka na nyama tunazokula duniani chanzo chake ni uarabuni. Ikiwemo nguruwe. Google eneo linaitwa Fertile Crescent. Japo mchele una utata kdg.

Afrika tuna mihogo na magimbi kujivunia. Mihogo pia inapikwa vzr zaidi pwani kuliko bara. Ndizi na mahindi ni vya waamerika wa kale. Kuku na mbwa ni China. Viazi ulaya ni Ulaya n.k. n.k.

Kwa historia hizo huwezi kuwazidi waanzilishi wa zao fulani kwenye mapishi ya mazao yao.
 
Mkuu ni kweli juu ya ndizi na mahindi, Latin America hicho bado ni chakula chao kikuu. Unshabatlri kuwa matoke yalitoka India?
 
Mimi ni Mkristo!

Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!

Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Mkuu
Kwanza siamin kama ww n mkristo
Lakin pia hata ukiwa n mkristo bx lengo na dhamira yako ktk uzi huu n lengo lisilo na hekima ndan yake

Hebu tuwe tuna adab na iman za watu
Am a moslem
Huwa napenda kuheshim iman, itikad, falsafa za watu
Thats dignity, huo ndo utu

Mm n muislam nmelelewa na walutheri
Cjawah ona, sikia, wala kujua kuwa kuna chakula cha kikristo au cha waislam

Cjawah kuona aina fulan ya mapish au vyakula vikinasibishwa na din fulan

Maana din inatoa mafundisho kwny vitab yan taurat, injil, zabur, qur'an and the rest

Hakuna mahal ktk vitab hivyo kunakofundisha kupika vyakula fulan

Bali upish huambatanishwa na kufungamanishwa na eneo, mazingira,hali ya hewa n.k

So wot do mean by migahawa ya wakristo

Respect Respect Respect!!!!!
 
mimi ni mkristo,,,,,huu ni ukweli usiofichika,,,, waislamu wanajua kupika
 
hili lina ukweli. naongezea pia wahudumu wa kiume wanatoa huduma nzuri na haraka kuliko wa kike.
 
mimi ni mkristo,,,,,huu ni ukweli usiofichika,,,, waislamu wanajua kupika
Kila mtu anajua kupika kufuatana na jamii yake inapenda chakula gani. Kuna watu hawapendi pilau wala biriani wanasema kin a mafuta mengi.
Kuna watu wanapenda vyakula cha kuchemsha ukija na rosti lako hawezi kula. Kuna watu wanapenda vitu cha ku fry
 
Back
Top Bottom