Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Birian ya Kulan Restaurant unaacha wapi..?Kuna ki restaurant hapa arusha kinaitwa mwambao kinamilikiwa na wazenji kuna pilau mbuzi haijawahi kutokea, hapa kesho Christmas nina mpango wa ku lunch pale
Ni pilau inayosifika zaidi hapa arusha
Watu wa pwani wanajua kupika sababu maeneo yao kuna spices nyingi na wamekuwa nazo wanafahamu kuzitumia vizuri
Wakristo wanajua kupika kitimoto
Hujui kama upishi ni somo nalo? Kama hujui tulia mumeo apikiwe na anaejua! 😀Kama hawana muda wa kusoma kwann wasijue kupika
Sio ITA...NI ya....Hii topic inapoelekea...itakua ya kidini....NgojA mie nikajiandae nA kirisimasii. ...nitakua nachabo KWA mbali
Hata dada zenu pia hawajui kugegedana au ndio vile wamesoma sanaKama kuna ukweli fulani, labda kwa sababu wengine hawana muda wa kusoma elimu dunia basi wanashinda jikoni.
Hamjui kupika wala kugegedanaKama hawana muda wa kusoma kwann wasijue kupika
Mbona unaongea ujinga ww hiyo research umefanya wap afu hoja ya kujua kupika ni kujifunza kujua kupika angalia kaul hekima iwe inakuongozaMimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Huu ni ukweli Mchungu sana kuumeza, umepiga dini zote mbili kiaina ....!!Kula Wakristo siyo hoja sana kwao. Ni urithi wa kizungu. Waliokwenda Uaya, vyakula vyao siyo vitamu ki hivyo! Waarabu wanajali sana kula ndio maana viungo vingi vina soko Uarabuni. Ni part ya Uislamu nadhani! Wanafundishwa nadhani madarasa! Mwambao wote wanajua kulemba chakula. Stand to be corrected!
Duuuh ...!!Hilo mm sijaliona ila nimeona tatizo la ushoga hapa tanzania linawaandama sana ndugu zetu waislam
ati???!!!Kama hawana muda wa kusoma kwann wasijue kupika