Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

Waislamu kwenye kula hawana mpinzani duniani hata motoni...

Nawakubali zaidi kwenye kufinya matonge usiombe upangiwe sahani moja na mtoto wa madrasa utaishia kula punje...

Misosi yao ni mitamu kwa kweli na wana varieties nyingi....

Msilamu mnyime hata papuchi sio sufuria la ubwabwa...
 
Kwa Nini upate shida mkuu! Hili nalo ndo mpaka ufungue thread hapa? Kama Mighahawa ya Kikristo haikupi chakula unachosema kitamu! Nenda kwenye Mighahawa ya Kiislamu ukale....! Simple.....!!!
 
Waislam wanapenda kula ndio maana, nasikia hata wale wanaojilipuaga wanapewaga tende tu
Your sentence is illogical. Your premise is positive whereas the conclusion is negative which causes the whole sentence to become unfounded.
 
Hivi na swala LA dini kweli au ni kwasababu ya spices wanazozitumia easy Africa sana sana mwambao tumekuwa influenced na spices zakiarabu na kihindi ndo maana tukionja vyakula vingine tu naona havina test lakini inawezekana vina test more natural kuliko vilovyowekwa spices nyingi.
 
Hakuna mahusiano kati ya mapishi na dini, unachopaswa kujua ni kwamba, hao wa kina mama Zena mama Hamisa, Mama Iddi huolewa wengi kwa mme mmoja,
na hivyo hulazimika kufanya mama ntilie ili kujipatia kipato, ndiyo maana wengi wao wana migahawa, na kwa kuwa ni wengi, unakula kwao zaidi na kuzowea mapishi yao!
 
Si kweli
 
Chakula cha watu wa pwani ni kitamu maana kuna kila aina ya viungo na pia watu wa pwani wajuzi sana kwa limbwata na mambo ya ndele so ukionja chakula chao unapagawa unaweza ukawa unatoka Matejoo unaenda kula maji ya chai.
 
wanawake wengi siku hizi.....marks zao zinaondokea kwenye kupika.......hawajali hilo kama ni sehemu ya upendo.....kuustawisha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…