Usiseme Tanzania tu kwani Waziri Mkuu wa Belgique hujui au unajitoa fahamu?Duuuh ...!!
Utafiti mwingine huu ..! (Mchungu kumeza).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiseme Tanzania tu kwani Waziri Mkuu wa Belgique hujui au unajitoa fahamu?Duuuh ...!!
Utafiti mwingine huu ..! (Mchungu kumeza).
Kwa Nini upate shida mkuu! Hili nalo ndo mpaka ufungue thread hapa? Kama Mighahawa ya Kikristo haikupi chakula unachosema kitamu! Nenda kwenye Mighahawa ya Kiislamu ukale....! Simple.....!!!Mimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Your sentence is illogical. Your premise is positive whereas the conclusion is negative which causes the whole sentence to become unfounded.Waislam wanapenda kula ndio maana, nasikia hata wale wanaojilipuaga wanapewaga tende tu
Hahahaha....nakupendaga sana= alibadili
Hahahaha....nakupendaga sana
Faiza= nakupenda
Hakuna mahusiano kati ya mapishi na dini, unachopaswa kujua ni kwamba, hao wa kina mama Zena mama Hamisa, Mama Iddi huolewa wengi kwa mme mmoja,Mimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Si kweliHakuna mahusiano kati ya mapishi na dini, unachopaswa kujua ni kwamba, hao wa kina mama Zena mama Hamisa, Mama Iddi huolewa wengi kwa mme mmoja,
na hivyo hulazimika kufanya mama ntilie ili kujipatia kipato, ndiyo maana wengi wao wana migahawa, na kwa kuwa ni wengi, unakula kwao zaidi na kuzowea mapishi yao!
raha restaurant...[emoji1]Au nender pale katkat ya kkoo
wanawake wengi siku hizi.....marks zao zinaondokea kwenye kupika.......hawajali hilo kama ni sehemu ya upendo.....kuustawisha....Bila shaka mumeo unamlisha notes zinazonukia harufu nzuuuuuri ya wino.
Kusoma kwako kukusaidie kujitambua ili kuyamudu mazingira ya sasa na yajayo.
Mazingira yajayo ni kujua kuwa ipo siku utakuwa mke, na huna budi kutimiza majukumu yako ikiwa ni pamoja na kumpikia mumeo. Vipo vitu vingi vinavyoongeza upendo, hata hili pia lina mantiki.
Hujachelewa, chukua hatua.