Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

Mkuu sikubaliana kuhusisha Iman na mapishi hata siku moja ,,,na hilo sio jambo jema kwa mtazamo wangu koz kuna siku utaja enda mbali na kutofautisha hadi masoko, bicha choo nk.kinachofanyika sio dini ila ni hadhi ya migahawa unamoingia kupata chakula wewe, naamin utakua unaendaga kwa mama ntilie ndo maana umetaja hadi majina hapo kwene post yako,, hao mama ntilie wapo kila mahali tz na chakula chao gharama ndogo sana kulingana ubora wa chakula chenyewe.
Lakin pia hawa mama zetu wamo kwa ajili ya kupikia watu hasa wa kipato cha chin,,
Jitahidi kuangalia tafit yako usiwe mind closed kwenye dini ,angalia sababu zingine, kama mazingira , utamaduni,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah wenye jamaa nimecheka hatar dah
 
Kwani Ford n ya nani
 
Tokea zama za zamani , hata kabla ya mkoloni muingereza, Ukanda wa pwani umebahatika kuchanganyika na watu wa aina mbali mabali kama Wareno, waspanish, wahindi, waarabu nk, a wote hao kila mmoja alikuja na na mila , Lugha, dini na mapishi yake, hii ili INFLUENCE sana wapwani
 
Vipi ulishawahi kula kitimoto kwenye migahawa hiyo unayosema wanajua kupika?
 
Hoja ni ya kweli na ukitaka kula kichefuchefu nenda Nairobi, jamaa hawajui kupika sijawahi ona! Misosi iko mombasa. Kwa wale wa Dar kuna msosi wa pilau unaitwa 'Mandi' unspatikana kwenye restsurant za waarabu ziko kariakoo na Tazara. Aisee hilo sosi ni balaa!
 
Sema upishi wenyewe, kila kitu kinafanyiwa sakafuni, mara mpishi ajikune, mara mtoto atolewe makamasi, paka naye aje kunusa anyanyuliwe asogezwe mbali. Ukiona hayo maandalizi uroho wote utakuishia, utatamani chakula cha mama Maria. Na siku hiyo utajilamba mpaka.

Bon apetit wateja wa akina mama zena.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uko sawa nimezunguka kampala misosi yao ni natural haswaa haina mbwembwe kabisa hata kama ni kwa muislam
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umekosea sana kuiweka ktk uislam na ukristo ingekaa kiukanda kungekuwa na mantiki, we mchukue mwanamke muislam wa shinyanga na mwanamke muislam wa tanga hlf wakupikie ndo utajua ishu sio dini ni eneo na tamaduni ya eneo husika
 
Me nafikiri ni interest ya mtu dhidi ya kupika na malezi.
Kwa binti wa kiislamu mara nyingi huwa wanafundishwa kupika pindi wanapokuwa nyumbani na hata kama yupo bize na shule lazima hata wikiend asaidie kupika hata kama kuna msaidizi wa kaz tofauti na hao wengine
Then kama mtu ana interest ya kupika atajifunza tu regardless ni dini ipi
Sasa mara nyingi wakristo hawalelewi hivyo na wala kujifunza hawataki na interest hawana
 
Ni kwa Mara ya Kwanza Nasikia uhusiano kati ya mapishi na dini au dhehebu la mtu! Sina hakika juu ya hili! On top of that utamu wa Chakula ni subjective. Na kitimoto wanapikaga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…