escrow
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 371
- 321
Mkuu sikubaliana kuhusisha Iman na mapishi hata siku moja ,,,na hilo sio jambo jema kwa mtazamo wangu koz kuna siku utaja enda mbali na kutofautisha hadi masoko, bicha choo nk.kinachofanyika sio dini ila ni hadhi ya migahawa unamoingia kupata chakula wewe, naamin utakua unaendaga kwa mama ntilie ndo maana umetaja hadi majina hapo kwene post yako,, hao mama ntilie wapo kila mahali tz na chakula chao gharama ndogo sana kulingana ubora wa chakula chenyewe.
Lakin pia hawa mama zetu wamo kwa ajili ya kupikia watu hasa wa kipato cha chin,,
Jitahidi kuangalia tafit yako usiwe mind closed kwenye dini ,angalia sababu zingine, kama mazingira , utamaduni,
Lakin pia hawa mama zetu wamo kwa ajili ya kupikia watu hasa wa kipato cha chin,,
Jitahidi kuangalia tafit yako usiwe mind closed kwenye dini ,angalia sababu zingine, kama mazingira , utamaduni,