Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

Tupo na wewe

#tuvushe baba tuna Imani na wewe

#Roberts for president

#Roberts anatosha/ hakuna Kama wewe
 
Shughuli zote kubwa na ndogo huanzia kwenye keyboard.

Kwani hizi zako umeanzia wapi ndugu?
Haziko kwenye keyboard pekee yake ndo maana nimetoka front bila kujificha sura au kutukia jina bandia

Huwezi kudai jambo ilahali watu wamejificha kwenye vivuli vya sura feki ndo maana zoezi linakuwa gumu
 
Unajiuliza maswali na kujijibu mwenyewe,kamwe huwezi pata jibu sahihi walau 45%..

Unahitaji mitazamo ya watu ili ukue,for instance, namna ulivyouliza swali, moja kwa moja umeenda kwenye jibu!
Haujatupa a room to say something,.
 
Ndo maana nikasema kwa mtizamo wangu na kwa observation niliyoifanya
 
Haziko kwenye keyboard pekee yake ndo maana nimetoka front bila kujificha sura au kutukia jina bandia

Huwezi kudai jambo ilahali watu wamejificha kwenye vivuli vya sura feki ndo maana zoezi linakuwa gumu

Pigia mstari neno "huanzia" kutambua mwanzo wa ngoma ni lele.

Au kwako mwanzo wa ngoma ni chorus?
 
Hizi akili za watanzania imagine huyu mtu ni baba kesho mtoto wake akija na wazo siataishia kumpiga makofi na kumgombeza

Kulikoni makasiriko tena ndugu wakati hashurutishwi mtu ikiwamo kutotumia keyboard kama mwanzo au vinginevyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…