0036 savage
Senior Member
- Apr 30, 2019
- 189
- 238
- Thread starter
-
- #61
Ww umejibu nini hapa hayo mauchumi sijui uzalishaji umekujaje hapa mishahara inapishanaje wakat mtu umemzid elimu zaid ya mara kumi yake alf alipwe mshahara mkubwa kukupita ww mara kumi wakat wote ni watumish wa serikaliZinztofautiana kwa umuhimu kwenye uchumi na uzalishaji.
Rudia ulichoandikaHapa atuongelei wiz wa mtu hiyo ni juu yake tunaongelea mshahara uliopangwa na serikal sio wiz au posho hayo ayatuhusu sisi kama wiz pia unajumuishwa kwenye mishahara yao hapo sawa ila kama wanaiba kwa siri kama waiz wengine hilo ni juu yao sisi tupo hapa katika mpishano wa mishahara
Si uache ujinga bas unaandika tena kingereza cha nini sisi atujasomaKumbe kuna vingereza vya shule ya msingi?!
Kumbe vingereza vinazingua watu?!
Wonder shall never end
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww unaonaje?unajua kwanza inakuaje mpaka mtu anakuwa daktar tuanzie hapo
Mimi nimenyooka ww unataka hoja hizo hoja ndo siasa kama ni 1+1=2 hoja ili iwe nini sasaRudia ulichoandika
"Umeona eeee hili sio sawa hii mishahara imekuwa kimichongo michongo na sababu za upishano huu hata azielewek serikal ilipitie tena lasivyo watu wataiba sana"
Jitathmini uwezo wako wa kuelewa na kujenga hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww umejibu nini hapa hayo mauchumi sijui uzalishaji umekujaje hapa mishahara inapishanaje wakat mtu umemzid elimu zaid ya mara kumi yake alf alipwe mshahara mkubwa kukupita ww mara kumi wakat wote ni watumish wa serikali
Mbaya zaidi sehemu zote zenye mishahara mizuri wamejaa watoto wa vigogo wa chama na serikali.
Watoto wa masikini na ufaulu wao wa juu wanaishia kuwa walimu, manesi, maafisa ugani, nk. na mwisho wa siku jamii inawadharau kutokana na mishahara yao kiduchu.
Kumbe hujasomaSi uache ujinga bas unaandika tena kingereza cha nini sisi atujasoma
Hapa nimegundua kwann unaandika kingereza ili utengeneze attention uonekane unaelimu au akil japo kidogo ya kuvukia barabara kama elimu aizalishi kitu serikal yako isingeongozwa na asilimia 100 ya viongoz wenye elimu bora na kusomea nchi bora ili tu kusaidia maendeleo.
Ww unaona ni sawa?serikal kuachia kikund cha watu kujipangia mshaara hata ukiambiwa ww ujipangie mshaara utajipangia kidogo?je serikal ailion hili huu ni wiz wa waz kabisa
Rudi darasani kwanza, kama ulivyosema hujasoma, ukishasoma rudi kwenye hii mada halafu ni tag.Mimi nimenyooka ww unataka hoja hizo hoja ndo siasa kama ni 1+1=2 hoja ili iwe nini sasa
Kwa hiyo vyeti vya elimu vinazalisha pesa?!Hapa nimegundua kwann unaandika kingereza ili utengeneze attention uonekane unaelimu au akil japo kidogo ya kuvukia barabara kama elimu aizalishi kitu serikal yako isingeongozwa na asilimia 100 ya viongoz wenye elimu bora na kusomea nchi bora ili tu kusaidia maendeleo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah bongo kwel inavichekesho sana haya bhna msomi mkuu kama nilichoandika ni kichekesho endelea kuchekaKumbe hujasoma
Halafu unataka kujenga hoja za wanataaluma?
Ndio maana unaandika vituko tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi kasome kwanza ndio urudi kwenye hii mada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ndo siasa kama vyeti avina maana katika uzalishaje ?Kwa hiyo vyeti vya elimu vinazalisha pesa?!
Umeelewa ulichokiandika kwanza?
Unajua tofauti ya vyeti vya elimu, elimu na kuzalisha pesa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe lazima ni mwalimuTanzania kuna tatizo moja ambalo mimi silielewi kabisa, inawezekanaje watu mna elimu sawa mmoja alipwe pesa nyingiiiiii kuliko mwingine kwa sababu ambazo azieleweki?
Kwa mfano Mhasibu wa cheti wa bandarini anakuwa na mshahara mkubwaaa kuliko hata mhasibu wa diploma wa taasisi kama hospital au mashuleni. Hili linawezekanaje?
Inakuaje mlinzi wa getini bandarini analipwa pesa kubwa kuliko CO au Muuguzi au mwalimu wakati yeye ni ngazi ya cheti tu?
Kwanini mshahara upangwe kutokana na uzalishaji na sio mpangilio mzuri? Kwanini mishaara isifanane kutokana na elimu?
Hii habari ya huyu anazalisha kingi kuliko huyu ni dharau kwahyo mwalimu hana maana kwenye jamii?
Ndio mm ni mwalimu mkuuWewe lazima ni mwalimu
eleka jiweNdio mm ni mwalimu mkuu
Kasome kwanza, utaelewa taratibu usiwe na haraka.Hizo ndo siasa kama vyeti avina maana katika uzalishaje ?
Hizo ndo siasa taratibu gani si uzitaje hapa hizi siasa ndo azitakiwi kabisa
Unyeti wa kazi husika pamoja ni muhimu.
Unataka Mwalimu alipwe sawa na sisi Madaktari kwa kuzingatia kiwango sawa cha elimu?
Kufanya hivyo utaharibu kabisa umuhimu wa sekta mbalimbali.
.