Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Sekta ya elimu kwako haina umuhimu?Kwani ambao wamefundishwa vizuri wote ni Madaktari? Acha ufinyu wa fikra..
Ukweli ambao haupo tayari kuuridhia ni kwamba kuna kada ni muhimu mno kulinganisha na zingine na zinapaswa kupewa kipaumbele katika maslahi.
Wasomi wetu wanadai akuna umuhimu wa sekta hiyo ya elimu kwakuwa amuingizi hata mia etiKwa hiyo, sekta ya elimu haina umuhimu?
Maoni yake, ambayo ni nonsense.Wasomi wetu wanadai akuna umuhimu wa sekta hiyo ya elimu kwakuwa amuingizi hata mia eti
Kuna majitu akil zao sjui ziko wap ukiangalia mabishano yetu linajifanya lisomiiii hali ya kuwa ajui hata mm ni nani na kwann nimehoji hivyo anadhan mm nimeamka tu asubuh na uchovu nakaandika huo walaka
Unamwambia mtu arud shule na hata umjui kwa aina hii ya watu wazungu wanasababu ya msingi ya kusema waafrika waoane .Ukaandika huo walaka sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba hawajui we ni nani?
Kifupi tunajua wewe ni kiazi mviringo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww si ndo mwaka jana ulikuwa unaomba msaada ujiunge na chuo tena unashukur watu humu kwa kukupa mwongozo leo hii umekuwa kibri unaita watu viaz jaman jaman.Ukaandika huo walaka sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba hawajui we ni nani?
Kifupi tunajua wewe ni kiazi mviringo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
We si umesema hujasoma?Ww si ndo mwaka jana ulikuwa unaomba msaada ujiunge na chuo tena unashukur watu humu kwa kukupa mwongozo leo hii umekuwa kibri unaita watu viaz jaman jaman.
Ndio sjasoma ila sjui na wala sikudharau ww kwasabab elimu yangu ninayoona ni kubwa kuna walionizid na weng mnooo ambao wanaiona ndogo kwahyo kwakuwa atujuani tusileteane dharau kwakuona umesoma kuliko mwingine unaweza ukamdharau mtu ambae elimu yake uifikii hata robo hilo liepuke sana hii ni mitandao tu nilitoa mada na wala sikujiongelea mm nimeongea kwa ujumla

Uandishi aumaanishi chochote kila ninavyotaka kukuelewesha uelewi bas tufanye hiv rud kwenye uangalie waliokupa mwongozo wa ww kujiunga na open university ni kina nan usiponikuta njoo hapa ubishane tena ujinga auwez kukuishia kama auna kumbukumbu

Ww ulinishukuru mm "nashukuru sana" alf saiz unaongea pumba zako hapa yan majitu mengine bhna
Yan juzi tu umetiatia huruma hapa ujui hata pakuanzia saiz unajibu watu ujinga kwahyo sisi wote ushatuzid elimu au sio?
Nilikushukuru kwenye nini?Ww ulinishukuru mm "nashukuru sana" alf saiz unaongea pumba zako hapa yan majitu mengine bhna
Umepita njia zako za panya umefel form four umepambana na madiploma huko sjui ulianza na certificate saiz unaongea ujinga hapa hiyo bachelor yenyewe sijui uko mwaka wa kwanza!!!ata avielewek alf unabishana hapa watu wanakukumbuka unajichoreshq tu hapa angalau mm watu awanifahamu ila ww tunakujua uliomba msaada humu ukiwa ujui chochote kuhusu bachelor.
Nilitia huruma kwenye nini?Yan juzi tu umetiatia huruma hapa ujui hata pakuanzia saiz unajibu watu ujinga kwahyo sisi wote ushatuzid elimu au sio?
Jitoe akil hivyohivyo
Huko wahusika tayari wapo, hilo tangazo ni geresha tyuuhWanaopenda mishahara mikubwa BOT wametangaza nafasi fanyen haraka
Rudi kasome comment za post yako ya kuomba muongozo usiniulize mm sikukutuma uje kuomba mwongozo humu na nisingekukumbuka ww ungenisumbua sana