Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

Mwamunyange CDF mstaafu alikuwa Mkuu wa JKT by then and later he was appointed by Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa majeshi .

I remember Mwamunyange ali-replace nafasi ya Mej jenerali Makame Rashid aliyestaafu ukuu wa JKT kabla hajateuliwa kuwa Balozi.
I remember Mwamunyange akiwa Mkuu wa JKT akim-replace Major general Makame Rashid..... nilikuwa pale Ruvu JKT ( intake ya 2001 mwezi October) tukiwa kuruta 2000 tu tz nzima . 1000 Ruvu JKT ....nikiwa Eagle coy , na 1000 wengine makutupora Dodoma.

Kwa hiyo sio kweli kuwa kwa tz wanaangalia kutoka makao makuu tu ya jeshi , SIO KWELI.

NB: WALE WA KWA DOSA, VIBWENDE tujuane
 
100% ...salute kwako
 
Wewe haujaelewa kitu,chukulia mfano jkt,si inaongozwa na kiongozi kutoka Jw,na iko jeshi la akiba pia,lipo chini ya Jw.
JKT ni JWTZ, kitu ambacho hujajua JKT ni chuo cha mafunzo (maandalizi) tu, wale ma kuruta na private ndio jkt, akishaajiriwa ni JWTZ au TPDF,mengine ni vitengob tu. Mavazi, vitambulisho na kila kitubni TPDF. jkt ina baki kama kituo cha mafunzo na uzalishaji tu
 
Mimi naona sahihi kupata mafunzo ya infantry kila mwanajeshi.

Fikiria rubani wa air Force ametua porini na parachute baada ya kutungiliwa au ndege kuleta shida ata survive vipi kwa muda mrefu kabla ya kuokolewa?
Askari wa Navy ata survive vipi porini au kisiwani baada ya kupata ajali au kudhibitiwa na adaui akakimbilia nchi kavu Kama lile tukio la wa Cuba waasi kwenye kisa cha Bay of pigs?
 
Aliyepo ni Brg. Gen
 
Maximum rank Kwa wakuu wote wa kamandi ni MAJOR GENERAL
 
Je mboma alitokea wapi
 
Nahis kama unaongea vitu hata huvijui, ila badala ya kuomba kuelimishwa unajitia ujuaji.

Kwanza kabisa ushasema utaratibu wa Kenya. Bas jua na Tanzania wana utararibu wao. Wao wanakwemda Tz wanaweza wakawa wanaangalia vigezo vingine.

Japo kwa kumalizia tu faham kwamba

1. Mbona alikua Airwing
2. Mwamunyange alitokea JkT

Wengine sifahamu
 
Siyo kwamba majeshi yote lazima mjeshi ale kwanza kozi ya infantry?
 
Mbona CDF Mwanyange alitokea JKT
 
Ni kweli sio vyote najua ndio maana tupo hapa kijuzana.
 
Unazungumzia Tonji Rule......

Rotation
 
Sasa mbona tangu uhuru wamekuwa wakipokezana maraisi kutoka kabila mbili tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…