Care Giver
Member
- Apr 2, 2024
- 69
- 215
- Thread starter
- #161
C
Ndio sidhani kama 'seniority' ina matter sana maana mwaka 2020 wakati General Mkunda akiwa Brigedia kuna yule aliyekuwa Mkuu wa TMA wakati huo Meja Jeneral Ibrahim Mhona alikua tayari ni Senior kwake ata Meja Jeneral Charles Mbuge nae alikua tayari ameshavaa cheo akawa Mkuu wa JKTMkuu, vigezo vya 'seniority' vilizingatiwaje namna ya kumpata Cdf Gen Twalipo na Gen Mkunda?
Embu tupe dokezo nini kiliwafanya kupandishwa ghafla na kurukia uCdf wakati ma Senior wao walikuwepo?