Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
KDF SIO CDFKenya kwa msiba wa CDF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KDF SIO CDFKenya kwa msiba wa CDF
Ushasema kapandishwa cheo na kuhamishiwa MMJ. MMJ ndio kamandi yake.Nadhani Raisi ambaye ndio Jemedari Mkuu ndio mwenye maamuzi.
Kwa mfano kulikuwa na Kanali Abdallah Twalipo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi sasa inaitwa Kagera.
Mara tukasikia Kapandishwa VYEO kutoka Kanali kuwa Major General na kuhamishiwa makao makuu ya jeshi na kuwa CDF nafasi iliokuwa ikashikiliwa na Major General Sarakikya.
Major General Sarakikya akateuliwa kuwa waziri wa utamaduni na michezo.
Swali Kanali Twalipo hadi anakuwa CDF katokea kamandi ipi?
KDF ni Kenya Defence Force ni sawa na huku kwetu kusema TPDF (Tanzania People Defence Force) ilaKDF SIO CDF
SawaKaka nadhani game ya Simba ikiisha ntakuja kukufafanulia Kwa kina ,ila Kwa kifupi kuwa CDF haimaanishi lazima uwe 4star general ,Kuna nchi zingine CDF ama. Cheo cha luteni jenerali au meja jenerali ,hii inatokana na ukuaji wa jeshi husika hasa idadi ya askari
Tanzania mkuu wetu wa majeshi wa kwanza alikuwa na cheo cha brigedia jenerali wakati anaapishwa na kutumikia madaraka yKe Hadi anastaafu alikuwa meja jenerali,aliyefata twalipo alikuwa CDF na cheo cha luteni jenerali 3 star general,ila baada ya hapo waliofata wte walikuwa 4star general kwani jeshi lilijitosheleza kiidadi ya askari na mengine katika kuwa na jenerali full..
Mwaka 2002 sarakikya alipandishwa cheo kuwa 4 star general Kwa heshima yeye alikuwa ndo wa kwanza ,kumbuka kijeshi cheo kupanda au kushuka inaweza tokea ukiwa umekufa au umestaafu
Kisiwa cha Comoro mwaka 2007 mkuu wake wa majeshi alikuwa na cheo cha kanali,
Gambia wakati yahya jamej anapinduliwa mkuu wake wa majeshi alikuwa na cheo cha luteni jenerali
Marekani wakuu wa kamandi kwao ni 4 star general na pia marekani ina 4 star general 42 na ndo idadi yao inasema wAsizidi hapo ila pia ikiwa pungufu ni sawa , so haya yanatokana na ukubwa wa jeshi linavyozidi kustawi na mengineyo
Nimejibu haraka kwakuwa nataka niwai mpira na siti nzuri
Maj. Gen Gaguti ni mkuu wa utumishi jeshini.Mkeremi ni head wa MI na vipi kuhusu Maj. Gen Gaguti?
Shukrani.Maj. Gen Gaguti ni mkuu wa utumishi jeshini.
Yes MI ndo mkuu wa usalama na utambuzi na ndo nayomaanishaa ,gaguti ni CP wa jeshi kamrithi meja jenerali Paulo kisesa simuli ambaye kateuliwa kuwa baloziMkeremi ni head wa MI na vipi kuhusu Maj. Gen Gaguti?
Hata kama ni common, lakini una viashiria vya uropokaji na hutoshi kuaminiwa. Your mind is very limited. Wenye akili wameelewa. Bahati mbaya sana humu mnatumia fake name, nina uhakika wakubwa wako wangekufahamu wangekuweka mbali na nyaraka. Labda uwe tu msimamizi wa jiko
Darasa la leo zuri sana....Jeshi linasimamiwa na raia, liko chini ya utawala wa kiraia.
Hata Mkuu wa Jeshi la Akiba (Mgambo) sio Mgambo....!Yaani jeshi la akiba(mgambo) halafu mkuu wa majeshi atokee huko?
Leo tumo darasani..watu kujiongeza maarifa ni muhimu kwa afya ya Taifa
Utaratibu wa Tz hautofautiani sana na huo wa Kenya.Habari, kwanza kabisa nitoe salam zangu za pole kwa majirani zetu Kenya kwa msiba wa CDF na wafuasi wake katika ajali ya ndege ya kivita iliyotokea tarehe 19/04/2024 wakiwa katika ziara za kikazi.
Baada ya kifo cha Mkuu wa Majeshi wao (CDF) nimetokea kuvutiwa sana na utaratibu wa majirani zetu baada ya uteuzi wa CDF mpya kuteuliwa kutoka kamandi ya majini (Navy).
Swala hili likanivutia sana nikaamua kuwafuatilia kidogo, nikagundua kumbe wao wana utaratibu wa kupokezana kwa kila kamandi kutoa CDF.
Swali langu, Je mbona huku kwetu asilimia kubwa kama si zote tunatoa Mkuu wa majeshi (CDF) kutoka Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi (MMJ) pekee?
Ina maana hizi Kamandi nyingine kama Kamandi ya Nchi Kavu, Kamandi ya Anga, Kamandi ya Majini, Kamandi ya JKT na Kamandi ya Mgambo Mkuu wa Majeshi hawezi kutokea huko?
Naomba kuwasilisha.
Afisa wa jeshi kwenda kufanya kazi zingine za kiserikali za uteuzi kama ulizotaja hapo juu haimuondoi kwenye kamandi yake.Nadhani Raisi ambaye ndio Jemedari Mkuu ndio mwenye maamuzi.
Kwa mfano kulikuwa na Kanali Abdallah Twalipo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi sasa inaitwa Kagera.
Mara tukasikia Kapandishwa VYEO kutoka Kanali kuwa Major General na kuhamishiwa makao makuu ya jeshi na kuwa CDF nafasi iliokuwa ikashikiliwa na Major General Sarakikya.
Major General Sarakikya akateuliwa kuwa waziri wa utamaduni na michezo.
Swali Kanali Twalipo hadi anakuwa CDF katokea kamandi ipi?
Lete wewe hayo ya kujadili!Kuna mambo yakuyajadili lakini hili halina sababu
Sikumaanisha kumtaka kwa maana ya kwamba hata kama hana vigezo.Kwani uchaguzi wa CDF unaangalia tu mtu unayemtaka? Kuna mengi mno kupata mkuu wa majeshi siyo kama ambavyo unataka kusema. Sijaandika kukurupuka
Mkuu, vigezo vya 'seniority' vilizingatiwaje namna ya kumpata Cdf Gen Twalipo na Gen Mkunda?Swali zuri sana, ipo hivi, jeshi letu kimfumo na kiutendaji lipo tofauti kidogo, nadhani hili swali limeulizwa kutokana na mfumo wa Kenya ulivyo ktk kuchagua ma CDF wao, wanaotokana na KAMANDI. Sisi kimfumo ma CDF hawatokani na KAMANDI bali hutokana na kwanza wanaangalia ma senior officers kama wapo na wanakidhi vigezo dhidi ya wengine no matter vyeo vyao vinalingana hata kaka wapo 10 ambao wapo sellected, Ila huchujwa kulingana na vigezo vyao. Hapa nazuungumzia hawa ma senior officer haijalishi wapo kamandi gani iwe navy, airforce, makao makuu n.k yeyote atakae kuwa na vigezo sitahiki atapitishwa kwenye mchujo kwa sifa zao. Majina kadhaa baada ya mchujo wa awali, hupelekwa kwa rais kujadiliwa ili kujadiliwa na jopo ka kamati ya rais ikiwemo CDF anaemaliza muda wake ili kujadili na kulipitisha kina moja tu. Mchakato wa awali huanzia makao makuu ya jeshi then rais hupelekewa majina ambayo wakuu wote huyajadili kwa sifa na kuyapitisha. Ipo hivi jwtz halifuati mfumo wa kuchagua CDF kwa kufuata zamu za kamandi, kwenye kamandi ni nafasi za usimamizi hivyo senior officer yeyote anaweza kuteuliwa kuwa mkuu wa kamandi yoyote ile na inaweza ikatokea akahamishwa kamandi na kwenda operation nyingine yoyote. Ila kwenye kamandi kuna specialization. Askari wanaweza kuspecilize kwenye fani flani ya kamandi na akadumu kwa kipindi kirefu akiwa humo. Mfano airforce wapo marubani ambao ni special case ambayo ipo ktk specialization huwezi ukamwamisha askari huyu wa airforce kwenda jkt kusimamia nyanya haipo hivyo. Au umtoe askari ambaye ni senior diver wa navy umpeleke kwenye vifaru ilhali huko wapo wenye fani hiyo ambao tayari wamespecilize. Zipo kozi ambazo askari wote lazima wazipitie ambazo ni flat rate mfano infantria lazima kwenye kozi ya kijeshi upitie huko kabla ya kwenda kwenye kamandi zingine zote. Kitu pekee ambacho kipo kimfumo huwezi kukwepa kozi ya infatria ni lazima sababu ndio mfumo wa mafunzo ulivyo. Banda ya hapo ndipo utaweza kuspecilize kwenye mifumo ya kamandi. Kwa hiyo KAMANDI wakuu huteuliwa tuu kusimamia na wanaweza kuamishwa kulingana na uhitaji wa usimamizi, leo hii mfano mkuu wa kamandi ya navy anaweza akahamishiwa airforce then huko huko alipo anaweza kuteuliwa kuwa CDF kama vigezo vyake vitakuwa vimemeet requirements zote. Asanteni.
Mkuu wa utumishi jeshini (Chief of Personnel)Mkeremi ni head wa MI na vipi kuhusu Maj. Gen Gaguti?