cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Shangazii wee hukwenda kwa mujibu wa sheria?Kamandi ndio nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangazii wee hukwenda kwa mujibu wa sheria?Kamandi ndio nn?
Mkuu Makonda kaingiaje kwenye Uzi wetu wa Jeshi 😀Kwanza kwa Tanzania, ni vigezo gani hutumika ktk kumteua mtu Mwanajeshi kuwa Mkuu wa Majeshi(CDF)?? Je, uchawa haupo kabisa kwenye vigezo vya kuweza kuteuliwa kuwa CDF hapa Tz?
Jaribu tu kufikiria, kama Paul Makonda na umbumbumbu wake pamoja na uhalifu wake alionao ameweza kuteuliwa kushika nyadhifa kubwa kubwa hapa Tanzania Huku wakiachwa watu wengine wengi ambao ni Wasomi, waadilifu na weledi, Je, inashindikana nini kumteua CDF kwa kufuata utaratibu kama huo ambao unaulalamikia????
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimecheka sana , maanina na juzi akaharisha mbele ya Rais kule Arusha eti kuna mawaziri wanamhujumu Rais.Kwanza kwa Tanzania, ni vigezo gani hutumika ktk kumteua mtu Mwanajeshi kuwa Mkuu wa Majeshi(CDF)?? Je, uchawa haupo kabisa kwenye vigezo vya kuweza kuteuliwa kuwa CDF hapa Tz?
Jaribu tu kufikiria, kama Paul Makonda na umbumbumbu wake pamoja na uhalifu wake alionao ameweza kuteuliwa kushika nyadhifa kubwa kubwa hapa Tanzania Huku wakiachwa watu wengine wengi ambao ni Wasomi, waadilifu na weledi, Je, inashindikana nini kumteua CDF kwa kufuata utaratibu kama huo ambao unaulalamikia????
asante kwa kumsaidia kabla ya kusoma comment nilitaka kumjibu ila nashukuru umemaliza.Mkuu! Kwani Makao Makuu si ndiyo kuna Wakuu wa Kamandi zote au?
Lakini ngoja waje wataalamu wa mambo ya kijeshi waseme vizuri.
Duuu unamaanisha DG wa tiss Kila siku anaripoti kwa mkuu wa majeshi?Vigezo sio kupokezana tu kama mnapokezana jeneza kwenye msafara viko vingi.Kenya nako Kuna shida.Kuna generali siku za karibuni tu alipelekwa Kongo kwenda kuongoza operation ya Majeshi ya Kenya kupambana na M23 akakimbia vita analalamika kuwa wanataka M23 kumuua akarudi Kenya .Sasa alivyoenda vitani alifikiria Nini kule anaenda kucheza mziki au?
Mkuu wa Majeshi huchaguliwa pia Kwa kuangalia uwezo wake kivita je alishawahi ongoza operation ngapi za kivita na zikafanikiwa? Kwenye eneo lake? Kuna vyeo aweza panda Kwa kikawaida tu kuwa umefanya kazi miaka hii na kuhudhuria Kozi au elimu shika.Cheo .Mkuu wa majeshi CV yake kivita lazima ionyeshe mafanikio ndani na nje ya nchi anayaweza ? Umetumwa kupambana na M23 ,operation za Jeshi sijui Dafur Nk .Historia Yako kivita ikoje eneo lako la ubobezi liwe anga,ardhini,military intelligence,baharini nk kivita ukoje? Mfano nilisoma mahali Kuna makamanda wa kamandi walishawahi twangana ngumi na mwenzie wa kamandi ya anga na majini baada ya kikosi Cha majini kufanya vibaya vita ya Uganda na Tanzania kikosi kilazamishwa na majeshi ya Idd Amin Cha majini sababu ya utendaji mbovu vitani wa kamandi ya majini ziwa Victoria walipokuwa wakivuka kukabili majeshi ya Uganda yaliyovamis Tanzania na kumpa kazi ngumu ya ziada kamanda wa Anga kufanya kazi extra kuokoa jahazi
Yule kamanda wa kamandi ya majini ilibidi aondolewe vitani arudishwe kambini.Suala Sio tu ukuu wa kamandi
Pia Kuna swala la umri Unakuta mkuu mwingine wa kamandi umri unemtupa mkono anafikia ku kustaafu
Wengine Kwa kuona uzito wa hiyo kazi hugoma.Mkuu wa Majeshi Hana muda wa kulala akiwa mdogo mno sababu ni mkuu wa Majeshi yote yawe polisi,JWtZ,Usalama wa Taifa nk na wote hueakilisha ripoti kwake Kila siku na muda wowote kukiwa na swala lazima atafute Kwa maamuzi na maelekezo yake
Ndiko.maana sio rahisi Kumkuta mkuu wa Majeshi wa Tanzania mnene ila wale wa chini yake waweza Kuta wako wanene wengi tu
Umetisha sana, Ila Sasa mi huwa nawazaga mbali kwa Sisi tusiojua lolote, Maana mi hata mgambo Sijawai kwenda, Kwenda mstarini Shule ya msingi nilikua nao usumbufu mtupu.Tofauti ya Kamandi ni majukumu tu.
Mfano:
Kamandi ya MMJ ni Utawala wa Jeshi
Kamandi ya Anga ni Ulinzi wa Anga
Kamandi ya Nchi Kavu ni Ulinzi wa Ardhini
Kamandi ya Majini ni Ulinzi wa Majini
Kamandi ya JKT ni Ujenzi wa Taifa
Kamandi ya Mgambo ni Askari wa Akiba
Nimesoma nimepata Elimu kumbe ndo hivyoooooJKT ni JWTZ, kitu ambacho hujajua JKT ni chuo cha mafunzo (maandalizi) tu, wale ma kuruta na private ndio jkt, akishaajiriwa ni JWTZ au TPDF,mengine ni vitengob tu. Mavazi, vitambulisho na kila kitubni TPDF. jkt ina baki kama kituo cha mafunzo na uzalishaji tu
Pata muda ujielimishe hapaHaya Mambo ya Jeshi ndo sijui Chochote. Naona Yuniform za Jeshi, na sign/ wanazovaa mabegani sijui Hata maana yake... Hilo neno CDF nililisikia kwa Mara ya kwanza alipokufa Magufuli
mgambo watoe CDF? lazima umevuta SKANKA!!Habari, kwanza kabisa nitoe salam zangu za pole kwa majirani zetu Kenya kwa msiba wa CDF na wafuasi wake katika ajali ya ndege ya kivita iliyotokea tarehe 19/04/2024 wakiwa katika ziara za kikazi.
Baada ya kifo cha Mkuu wa Majeshi wao (CDF) nimetokea kuvutiwa sana na utaratibu wa majirani zetu baada ya uteuzi wa CDF mpya kuteuliwa kutoka kamandi ya majini (Navy).
Swala hili likanivutia sana nikaamua kuwafuatilia kidogo, nikagundua kumbe wao wana utaratibu wa kupokezana kwa kila kamandi kutoa CDF.
Swali langu, Je mbona huku kwetu asilimia kubwa kama si zote tunatoa Mkuu wa majeshi (CDF) kutoka Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi (MMJ) pekee?
Ina maana hizi Kamandi nyingine kama Kamandi ya Nchi Kavu, Kamandi ya Anga, Kamandi ya Majini, Kamandi ya JKT na Kamandi ya Mgambo Mkuu wa Majeshi hawezi kutokea huko?
Naomba kuwasilisha.