Kwanini Mkuu wa nchi anajificha (katua Private Aiport huko Dubai) ndege ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401

kujificha vipi wakati kaondoka dar kila mtu anamuona?
 
Mkuu wa nchi??

Huyo sio mkuu wa nchi, ni mwenyekiti wa CCM na muuaji mkuu wa October 29 .

Tanzania haina mkuu wa nchi kwa mwezi wa tatu sasa.

Naye anakimbia "STATE OF FEAR " kama documentary ya BBC inavyoonyesha watanzania wengine wakikimbia nchi kuishi mafichoni.
 
Yule mwanamke ni shetani mkubwa, kinachomsumbua ni hatia aliyonayo kwa vifo vya maelfu ya watanganyika ili abaki madarakani. Hataishi kwa amani milele.
 
Kitu ambacho nina uhakika nacho ni kuwa, wewe hapo huwezi kuwa na akili kuliko sisi wote hapa
Nina uhakika kwa asilimia zote kuwa mm si nyumbu hadi unidanganye tumetazamana eti hapo kuna usiri, usiri gani sasa
-makina ndo watakubaliana na huu upupu eti ni siri mara kujificha wakati mh RAIS ametumia ndege ya tanzania.
"takataka tu"
 
nilishangaa tume kuanza kwa uwazi, waathirika walivyo anza kuonyesha maumivu makali tume, nahisi imeambiwa iache mara moja.

inasikitisha pale unapoona nchi inaleta Askari wa nchi za nje mauaji yatekelezwe.

ee Mungu walinde raia wema
 
t
always there food is human fresh
 
Uue watu af'10+ hata ungelikuwa ni wewe mkuu, lazima ungelitumia acrobatic ama majini kabisa kuendesha maisha yako ya kila siku.

Hawez kuwaamini mpaka wale watu wake wa karibu kabisa, na kama inawezekana, ipo siku atakodisha bodyguards mamluki.

Na namna waTz wanavyonunulika kwa rushwa, waalah hata kivuli chake mwenyewe hawezi kukiamini kwa sasa.

Nataka ile tume ya kijaji aliyoiunda kumsafisha imwage ugali, waTz waamue.
 
Kwahiyo unamuunga mkono muuaji wa raia wasio kua na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…