Kwanini Mkuu wa nchi anajificha (katua Private Aiport huko Dubai) ndege ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401

Boeing la Air Tanzania lime cancel abiria wa wiki nzima kumbeba Samia na machawa wake, kwani hawezi kupanda first class, matumizi mabaya na ubadhirifu mkubwa huu
 
Unafikiri atakwenda wapi zaidi ya China labda na Uganda kwa dicteta mwenzake
yeah sio jambo geni sana na halitashangaza, si atakua kama jpm tu

muda utadhihirisha maana viongozi kutembea na yenyewe inategemea na nini anakwenda kukifanya ,
maana hapa kati marekani kakoroga mambo si tumeona kiongozi wa canada, britain wamewasili huko china baada ya muda mrefu
 
Sijaelewa.
Kwani haijulikani kuwa yuko wapi?
 
Kwahiyo unamuunga mkono muuaji wa raia wasio kua na hatia.
1. Mh RAIS hana ubaya na mtu na wala hajaua

2. kilichofanyika ni vyombo vya ulinzi kuzuia vibaka na majambazi waliotaka kuzuia mchakato wa kikatiba wa watu kupiga kura
-lakn vyombo vya ulinzi vilitumia nguvu sawa sawa na nguvu za wahuni waliokuwa wanataka kuhujumu rasilimali za nchi na miundombinu yake
-vyombo vya ulinzi vilitumia nguvu za kawaida kuzuia mapinduzi.

mh samiah ni rais halali na ameilinda amani ya taifa hli, namuunga mkono mtunza amani wa taifa hili, mimi ni mtanzania nitapinga kila aina ya hila ya vibaka ya kuvuruga amani ya taifa hili.
 
Suala ni kwamba unakutana na Viongozi wengi wenye hulka tofauti. Wao hawajaua hata sisimizi ku maintain nafasi zao. Yeye kaangamiza maelfu ya raia wake kusalia madarakani. Hapo huoni kuna kaupepo fulani katagonga masikioni mwake??

Nuru na giza haziwezi kukaa pamoja. Lazima anaumia. Ila kwa hapa home akiketi na wana wa giza wenzie ni burudani.
 

Halafu cha kushangaza wanakuja kusema hadharani eti watu wasizunguzie yaliyotokea October 29 kwasababu eti wanatonesha kidonda!! Kama mnajua kuna kidonda dawa yake kukipuuzia au kukitafutia dawa ili kipone ? Na nyie mnaijua hiyo dawa lakini mnashupaza shingo hamtaki kuitumia. Kwaninini?
Wananchi wamewaambia wanataka muwape maiti zao wakazike , mmekaa kimya ; wanawaomba muwape hata nguo za watoto na ndugu zao basi angalau wakazike hizo, napo bado mko kimya!! Namna hiyo mtawakatazaje watu wasizidi kuzungumzia maafa yaliyotkea October 29? Juu ya hayo kwa unafiki wenu mnataka maridhiano ; hayo maridhiano mtayapata kwa msingi upi wakati hao mnaotaka kuridhiana nao bado wana maumivu?
 
Mkuu, mpaka umeipta wewe kwenye mtandao, hiyo ni kujificha? Vipi hizo nyingine nazo zilijificha?

Mimi nauliza tu niliyosikia na kuona. Toba shikio.
 
Ameenda kuuza dhahabu
 
Tulisema ,huwezi ,kuwa kiongozi katika taifa ambalo kila kitu ,kipo shagalabagala, wananchi hawakutaki , bali tu ccm wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…