Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Tiririka & serereka.
Ongezea na sababu za kidini mkuukiufupi hataki kuitangaza Betway, Mo anaangaliwa na kufuatiliwa na watu wengi, kuvaa nguo yenye matangazo ya kampuni fulani kutapelekea wanaomfuatilia na wenyewe kuitafuta hiyo nguo
Swadaka ndio kitu gani?Huyo mnafiki tu
Hiyo jezi begani ina nembo ya pilsner (pombe)
Mpira wenyewe umeharamishwa kwenye uislam kwanini anamwaga mapesa kwenye mpira na asitoe swadaka kama ameamua kuzingatia dini.
Dini na unafki vinaendanaHuyo mnafiki tu
Hiyo jezi begani ina nembo ya pilsner (pombe)
Mpira wenyewe umeharamishwa kwenye uislam kwanini anamwaga mapesa kwenye mpira na asitoe swadaka kama ameamua kuzingatia dini.
Huyo mnafiki tu
Hiyo jezi begani ina nembo ya pilsner (pombe)
Mpira wenyewe umeharamishwa kwenye uislam kwanini anamwaga mapesa kwenye mpira na asitoe swadaka kama ameamua kuzingatia dini.
Hao watu wanafiki wao wanapinga kamati na kitimotoDini na unafki vinaendana
Nafkiri sababu yake itakua kwenye swala la kiimani zaidi si unaona hata alichoshika mkononi?
Exactly 💯 naunga mkono hojaNa hili ndio jibu sahihi..
Kama muumini ana haki ya kuzingatia sharia za dini yake
Dini ikikolea sana na unafiki havitenganiHao watu wanafiki wao wanapinga kamati na kitimoto
Ila wanaokula malaya
Wanalipa wafanyakazi 4000 Kwa siku kwenye viwanda vyao
Wanafanya biashara ya kuuza energy drinks na ma cola ambayo ni hatari Kwa afya kuzidi hata pombe na kitimoto
Wanaoshiriki ufisadi Kwa kudhamini mapesa mengi CCM
Wanakwepa Kodi n.k
Ila unafiki wao ni kupinga kitimoto na kubet
Mpira sio haramMpira ni Haram pia
Wachezaji wanacheza uchiMpira sio haram