Kwanini MO havai jezi yenye wadhamini wakuu wa Simba Sports ambao ni kampuni ya kamari ya Betway?

Simba kuna muendelezo wa ujinga mwingi sana. Rais wa Klabu anakataa kuvaa jezi yenye nembo ya mdhamini mkuu, Mwenyekiti wa Klabu ndiyo kakataa kamwe kuonekana amevaa jezi ya klabu.

Yaani mambo shaghalabaghala tu, kila mtu anajiamulia mambo yake bila kuzingatihianachofanya kina madhara gani katika taswira nzima ya klabu.
 
Ligi Gani na nchi Gani thibitisha ndugu?
Mbona nimekujibu mkuu Ligi zote na nchi zote kwahiyo ni wewe tu kujichagulia hapo au basi ngoja nikutajie moja ligi ya hapa hapa nyumbani Tanzania NBC Premier league
 
Ni lini watu wamecheza uchi hapa kwenye ligi yetu?
 
Hao watu wanafiki wao wanapinga kamati na kitimoto
Ila wanaokula malaya
Wanalipa wafanyakazi 4000 Kwa siku kwenye viwanda vyao
Wanafanya biashara ya kuuza energy drinks na ma cola ambayo ni hatari Kwa afya kuzidi hata pombe na kitimoto
Wanaoshiriki ufisadi Kwa kudhamini mapesa mengi CCM
Wanakwepa Kodi n.k
Ila unafiki wao ni kupinga kitimoto na kubet

unateseka ukiwa wapi?
 
Simba kuna muendelezo wa ujinga mwingi sana. Rais wa Klabu anakataa kuvaa jezi yenye nembo ya mdhamini mkuu, Mwenyekiti wa Klabu ndiyo kakataa kamwe kuonekana amevaa jezi ya klabu.

Yaani mambo shaghalabaghala tu, kila mtu anajiamulia mambo yake bila kuzingatihianachofanya kina madhara gani katika taswira nzima ya klabu.

umewahi muona raisi au director wa Man Utd kuvaa jezi ya Man Utd?
 
Hao watu wanafiki wao wanapinga kamati na kitimoto
Ila wanaokula malaya
Wanalipa wafanyakazi 4000 Kwa siku kwenye viwanda vyao
Wanafanya biashara ya kuuza energy drinks na ma cola ambayo ni hatari Kwa afya kuzidi hata pombe na kitimoto
Wanaoshiriki ufisadi Kwa kudhamini mapesa mengi CCM
Wanakwepa Kodi n.k
Ila unafiki wao ni kupinga kitimoto na kubet
Vipi kitimoto unakula???
 
Screenshot_20250727_222049_WhatsApp.jpg
 
Simba kuna muendelezo wa ujinga mwingi sana. Rais wa Klabu anakataa kuvaa jezi yenye nembo ya mdhamini mkuu, Mwenyekiti wa Klabu ndiyo kakataa kamwe kuonekana amevaa jezi ya klabu.

Yaani mambo shaghalabaghala tu, kila mtu anajiamulia mambo yake bila kuzingatihianachofanya kina madhara gani katika taswira nzima ya klabu.
Watu ni wale wale ✌️utopoloni
 
Back
Top Bottom