Kwanini MO havai jezi yenye wadhamini wakuu wa Simba Sports ambao ni kampuni ya kamari ya Betway?

Kwanini MO havai jezi yenye wadhamini wakuu wa Simba Sports ambao ni kampuni ya kamari ya Betway?

Simba kuna muendelezo wa ujinga mwingi sana. Rais wa Klabu anakataa kuvaa jezi yenye nembo ya mdhamini mkuu, Mwenyekiti wa Klabu ndiyo kakataa kamwe kuonekana amevaa jezi ya klabu.

Yaani mambo shaghalabaghala tu, kila mtu anajiamulia mambo yake bila kuzingatihianachofanya kina madhara gani katika taswira nzima ya klabu.
Wangeweka utaratibu ambaye moja ya logo katika jezi inapingana na imani au itikadi zake bora asivae kuliko kuifanyia mabadiliko sehemu muhimu kabisa.
Tatizo lilianzia kwa Ali Kiba mpaka baadhi ya wasaninii wamefunika betway wameweka majina yao.
 
DINI yake imekataza, Na Simba kama brand ni Bidhaa inayotumiwa na watu wa dini zote, Kwenye Mkataba Kipengele cha dini yake kukataza kamari kinambeba! Hajavunja mkataba! Pia Betway wameingia mkataba na SIMBA SC Na Sio Mwenyekiti wa SIMBA.
Sportpesa, Mbet mbona alivaa
MO-MBET.jpg
moopic.jpg
 
Wangeweka utaratibu ambaye moja ya logo katika jezi inapingana na imani au itikadi zake bora asivae kuliko kuifanyia mabadiliko sehemu muhimu kabisa.
Tatizo lilianzia kwa Ali Kiba mpaka baadhi ya wasaninii wamefunika betway wameweka majina yao.
Ukiniuliza mimi nitakwambia ni unafki tu. Hauwezi kuongoza taasisi ambayo katika nafasi yako unashiriki katika maamuzi ya kuleta mdhamini fulani, halafu akishakuja unageuka na kusema ni haramu kumsapoti huyo mdhamini.

Pia mdhamini akishakubali kuingia mkataba wa aina hiyo wa watu kujiamulia wavae/waonyeshe nembo yako au wasivae/wasionyeshe, basi umekwisha. Kesho wachezaji nao watagoma, keshokutwa mrusha matangazo atagoma, nk.

Ili kuondoa huu mkanganyiko usio wa lazima, unaweza kabisa kutengeneza t-shirts zenye nembo ya klabu pekee. Mbona Yanga wanazo nyingi kama hizo?
 
Huyo mnafiki tu
Hiyo jezi begani ina nembo ya pilsner (pombe)
Mpira wenyewe umeharamishwa kwenye uislam kwanini anamwaga mapesa kwenye mpira na asitoe swadaka kama ameamua kuzingatia dini.
Anapunguza makasiriko. Akiweka zote mtanuna sana nyie
 
DINI yake imekataza, Na Simba kama brand ni Bidhaa inayotumiwa na watu wa dini zote, Kwenye Mkataba Kipengele cha dini yake kukataza kamari kinambeba! Hajavunja mkataba! Pia Betway wameingia mkataba na SIMBA SC Na Sio Mwenyekiti wa SIMBA.
Mbona Diamond na Ali Kiba wanavaa na pia wanachezesha kamari?
 
kiufupi hataki kuitangaza Betway, Mo anaangaliwa na kufuatiliwa na watu wengi, kuvaa nguo yenye matangazo ya kampuni fulani kutapelekea wanaomfuatilia na wenyewe kuitafuta hiyo nguo
Za Sportpesa alikuwa anavaa wakati mdhamini mkuu ni Mbet
 
Hata wewe km ni muunini MZURI WA DINI isiyoruhusu kamari, ni vzr usivae jezi yenye tangazo la kamari na Pombe
 
Back
Top Bottom