Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanaiwaza nchi wewe unawaza ubinafsi!!Mkuu, weekend uwe unatembelea investment za familia, hizo ndio zako, haya mambo ya siasa hata yakiwa mazuri, yatamfaidi mbowe na genge lake. Hutamuona akija kukupa hata buku. Jikite kwenye kilimo na ufugaji, hata wa nguruwe, ndani ya miaka mitano utagundua kwamba kumbe tatizo sio CCM wala Katiba wala Chadema, ila tatizo ni fikra za kimaendeleo.
Kuna watu wamekuwa matajiri lakini wanatoka katika nchi zenye Katiba ya hovyo na uta wala wa kidikteta
Ni jukumu langu kuwafungua watu akili wanadanganywa eti bila Katiba mpya huwezi hata kununua kuku ufuge. Hata wakati wa ukoloni na sheria zao mbovu watu walitengeneza maishaWatu wanaiwaza nchi wewe unawaza ubinafsi!!
Nguruwe siufuge wewe uwe tajiri mbona nawewe unahangaika huku nabando lako lajero??
Inategemea, kama una macho kama ya Mwenyekiti Mbowe, unaweza usione jipyaSasa kwa nini walimuondoa mkoloni wakati hakuna jipya??
Mkuu hii barabara ni balaa. Sijui tuliwakoseaHapa Mpiji Magohe ni maeneo ya umma ila hakuna lami.