Kwanini msajili wa vyama vya siasa huwa habadilishwi mara kwa mara?

Watu wanaiwaza nchi wewe unawaza ubinafsi!!
Nguruwe siufuge wewe uwe tajiri mbona nawewe unahangaika huku nabando lako lajero??
 
Watu wanaiwaza nchi wewe unawaza ubinafsi!!
Nguruwe siufuge wewe uwe tajiri mbona nawewe unahangaika huku nabando lako lajero??
Ni jukumu langu kuwafungua watu akili wanadanganywa eti bila Katiba mpya huwezi hata kununua kuku ufuge. Hata wakati wa ukoloni na sheria zao mbovu watu walitengeneza maisha
 
Ni jukumu langu kuwafungua watu akili wanadanganywa eti bila Katiba mpya huwezi hata kununua kuku ufuge. Hata wakati wa ukoloni na sheria zao mbovu watu walitengeneza maisha
Sasa kwa nini walimuondoa mkoloni wakati hakuna jipya??
 
Inategemea, kama una macho kama ya Mwenyekiti Mbowe, unaweza usione jipya
Inategema pia kama kama una akili kama za kibajaji unaweza usione jipya kwa katiba mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…