Kwanini mtandao wa X (Twitter) unapigwa vita nchini Tanzania?

Duh! Hawa viongozi wamejuaje kama huko X kuna ushoga? Mimi nadhani serikali ingejikita kwenye kutekeleza ilani ya chama na sio kuwabana watu kwenye mambo yasiyo ya lazima. Ikumbukwe jinsi unavyombana mtu ndo jinsi unavyozidi kumhamasisha kutafuta uhuru wake.
 
Duh! Hawa viongozi wamejuaje kama huko X kuna ushoga? Mimi nadhani serikali ingejikita kwenye kutekeleza ilani ya chama na sio kuwabana watu kwenye mambo yasiyo ya lazima. Ikumbukwe jinsi unavyombana mtu ndo jinsi unavyozidi kumhamasisha kutafuta uhuru wake.
 
Kwani hujui wanatangaza na ku promote indirect? Sahivi kila mtu ushoga, ushoga ishakua fashion.
 
Hakuna Cha maadili Wala nini, ila kwenye mtandao wa X watu wanasema ukweli unaoiumiza serekali, na hakuna uwezekano wa kupata taarifa za hao wanaoipa ukweli mchungu serekali.
 
Kabisa aisee na mange aje huku jf afu asema anapatika jf kudadeki itajaza sana. Sema kwann wanatumia nguvu kubwa kupambana na mange. Kuna kitu naweza sema mange anajua na ameanza watajuta. Mpare yule harudishi miguu nyuma
Ngoja nimuite, MangeKimambi japo watu wa huku walimkera😄 (soma hapa.)​
 
Sasa si waweke wazi kuwa spana inaumiza, sio kusingizia ushoga.

Ushoga ulikuepo kabla hata ya Twitter.
Na kule twitter kama hujafollow shoga hata mmoja huwezi kuwaona. Nadhani hao viongozi wa dini ni mashoga au wana chembechembe za kupenda ushoga.
 
Halafu walivyo wa hovyo ili Kutuzuga Watanzania wakidhani Wote tunafanana nao kwa Akili Mbovu ( Hayati Baba wa Taifa alipenda sana kuwaita Wapumbavu ) walizonazo wamejifanya kusema Mtandao wa X ( zamani Twitter ) unachoche Mapenzi ya Jinsia Moja hivyo Wote ( Wapuuzi UVCCM na Viongozi Wanafiki wa Dini ) kwa pamoja wameitaka Serikali haraka sana Uufungie Mtandao wa X ( zamani Twitter )

Yaani Kiongozi anaacha kuwaza jinsi ya kuwaletea Maendeleo Watanzania anaamua kutumia muda wake wote kupanga Mikakati ya Kipuuzi na kuwatumia Watu wasio na Akili kama Yeye ili wapige Kelele Serikalini ili Jambo lake alitakalo lipate sababu na haraka sana achukue hatua. Nyerere aliposema Ikulu si mahala pa Kukimbilia mkampuuza sasa wenye Akili na tuliokuwa na tunaomkubali tumemuamini 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…