kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Hii mada so ya siasa acha bange!kukusaidia...Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
[emoji1][emoji1]Rip ikitotanzila, so sad you die so young.
Inaonekana anataka akampe mtu hiyo R.I.P. kabla hajaondoka....Kuna mtu hajafikiria vizuri halafu kaanzisha uzi...
Imekuwaje tena? Tena iko hivyo?????Combinationa ya sukari na njuguwni mbaya sana.
Mkuu, Huyo unaetaka kumpa RIP si bado yuko mzima??? Wahi ukampe mapema..usije ukajilaumu baadae....Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Atarest in peace mwenyewe Kwa wakati wake.Akishasikia?
Atarest in peace mwenyewe Kwa wakati wake.
Mmh ..! Haaya
Rip ikitotanzila, so sad you die so young.
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
aisee hapana, rip mwenyeweR.I.P wana jf wote