Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

Wewe Kijana unayechua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi

Fanya hivi

Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua

Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji.

Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
Kuna ukweli ndani yake, nafikiri ni ile hali ya guilt baada ya tendo ndio inaondoa nuru.
 
Ngono na kujichua vinaondoa life force yako kiroho, yaani unachokitoa baada ya ngono ni lige force
Is why watu ambao hawafanyi sana wala kujichua wanawaka or mambo yao yana slide mara kwa mara
Wakina diamond wanagonga mademu vibaya mno na wanapata fedha hizi ni mythical tu
 
Wanagonga lakini si kizembe, mtu kama diamond anailinda afya yake kuliko chochote, he knows akiyumba , hata career yake mwishowe vyote alivyo vijenga vitadondoka

Yule sio mpumbavu, yuko makini kuliko unavyodhani.

Sasa wewe pangu pakavu test fire halaf tutajua is it mythical or not
 
Unaniita pangu pakavu alafu hata unijui
 
Wanagonga lakini si kizembe, mtu kama diamond anailinda afya yake kuliko chochote, he knows akiyumba , hata career yake mwishowe vyote alivyo vijenga vitadondoka

Yule sio mpumbavu, yuko makini kuliko unavyodhani.

Sasa wewe pangu pakavu test fire halaf tutajua is it mythical or not
Sasa wewe masikini dumber unajifananisha na diamond ambaye haumjui wala kuishi nae zaidi ya kumuona katika TV.
 
Wewe Kijana unayechua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi

Fanya hivi

Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua

Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji.

Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
Mkuu
Kwani wewe umeshawahi kujaribu hii technique? Matokeo yalikuaje

Tuanzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom