Kwanini mtu wa Dar anachanganyikiwa ukimwambia unaenda kumtembelea?

Kwanini mtu wa Dar anachanganyikiwa ukimwambia unaenda kumtembelea?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,040
Reaction score
33,028
Wakati mwingine huwa sielewi shida ya watu wa Dar nini Kuna siku Rafiki yangu nilimwambia nakuja Dar akaniambie niletee zawadi za huko Tukuyu.

Nikanunua mkungu wa Ndizi debe la Viazi na Nyanya ndoo nilinunua Doma mbele ya mikumi kama nilitumia 60,000 kumpelekea Rafiki yangu nilikua na private Car ila nakaribia kufika nikamwambia anielekeze Nia yangu nimepekee tu hivyo vitu Mimi niende kwangu akaniambia katoka kaenda Tanga[emoji23][emoji23]

Nikawa nampigia hapokei mara Simu haipatikani baada ya siku tatu vile vitu vikaanza kuaharibika nikampigia picha nikamtumia na nikagawa kwa majirani zangu nikiwa naenda akisema niletee Michele au mafuta namwambia acha Uzushi wajinga sana hawa jamaa sijui alifikiri Mimi nataka kufikia kwake.

Je, huwa tatizo ni nini
#####HATUCHEZI###

1747647434078.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂 we
Wakati mwingine huwa sielewi shida ya watu wa Dar nini Kuna siku Rafiki yangu nilimwambia nakuja Dar akaniambie niletee zawadi za huko Tukuyu.
Nikanunua mkungu wa Ndizi debe la Viazi na Nyanya ndoo nilinunua Doma mbele ya mikumi kama nilitumia 60,000 kumpelekea Rafiki yangu nilikua na private Car ila nakaribia kufika nikamwambia anielekeze Nia yangu nimepekee tu hivyo vitu Mimi niende kwangu akaniambia katoka kaenda Tanga
emoji23.png
emoji23.png

Nikawa nampigia hapokei mara Simu haipatikani baada ya siku tatu vile vitu vikaanza kuaharibika nikampigia picha nikamtumia na nikagawa kwa majirani zangu nikiwa naenda akisema niletee Michele au mafuta namwambia acha Uzushi wajinga sana hawa jamaa sijui alifikiri Mimi nataka kufikia kwake.

Je huwa tatizo ni nini
#####HATUCHEZI###View attachment 3338863

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Watu wa Dar wengi wao wanaishi maisha magumu Sana kula yao ya shida nyumba wanazoishi tabu tupu, Hali ya hewa mbaya Sana sema wanaforce waonekanq wanaishi mjini Ila ni Kama jehanamu, kwa kweli sisi wa mkoani tunaenjoy mno Kama tupo peponi tumezungukwa na mabikra 70
 
Back
Top Bottom