Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Maisha magumu
Tanzania nzima kula ni shida tu ndo maana hata udumavu wa Mili na viribatumbo upo mikoaniwao wanawaza unaenda kula tu,maana kula yao tu ni shida baadhi,.
Mikoa ipi ina viriba tumbo??Tanzania nzima kula ni shida tu ndo maana hata udumavu wa Mili na viribatumbo upo mikoani
Wakati mwingine huwa sielewi shida ya watu wa Dar nini Kuna siku Rafiki yangu nilimwambia nakuja Dar akaniambie niletee zawadi za huko Tukuyu.
Nikanunua mkungu wa Ndizi debe la Viazi na Nyanya ndoo nilinunua Doma mbele ya mikumi kama nilitumia 60,000 kumpelekea Rafiki yangu nilikua na private Car ila nakaribia kufika nikamwambia anielekeze Nia yangu nimepekee tu hivyo vitu Mimi niende kwangu akaniambia katoka kaenda Tanga[emoji23][emoji23]
Nikawa nampigia hapokei mara Simu haipatikani baada ya siku tatu vile vitu vikaanza kuaharibika nikampigia picha nikamtumia na nikagawa kwa majirani zangu nikiwa naenda akisema niletee Michele au mafuta namwambia acha Uzushi wajinga sana hawa jamaa sijui alifikiri Mimi nataka kufikia kwake.
Je huwa tatizo ni nini
#####HATUCHEZI###View attachment 3338863
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile
Mikoa mingi inayozalisha chakula inapata udumavu kwa sababu ya lishe duni mfano morogoro,njombe,ruvuma..Mikoa ipi ina viriba tumbo??
Baadhi ya mambo hapo ni kweli kabisa[emoji23]Ni kweli watu wengi wa Dar hatupendi wageni kwa sababu zifuatazo:-
1.Watu wengi hatuna muda wa kukaa nyumbani,kila siku tuko bize kutokana na nature ya jiji hili,hivyo mgeni ukija ni usumbufu kwa kuwa mgeni anatakiwa apewe muda wa kuwa nae.
2.Mikoani huwa tunajipa/mnatupa status ambazo ki uhalisia hatuna kwa hiyo ili kumentain hiyo status ni bora nisikupe nafasi ya kufika kwangu
3.Watu wengi ukiwakaribisha kwa mara ya kwanza nyumbani ndio mwanzo wa mazoea ya kuja kuja nyumbani hata kama hana mpango maalumu
4.Tukija kwenu sisi ndio walipaji wa bill na mkija huku sisi ndio tunawalipia tena.(kama utanihakikishia ukija kwangu utakuwa unatoa kama mimi ninvyokutoa ukiwa kwenu mkoani..basi karibu Dar)
5.Uchawi na kurudishana nyuma...watu wengi wa mikoani ni wachawi hivyo ili kujizuia na kimbola chao ni bora wasijue nyumbani.
Waache kujigamba sasakwa sababu maisha ni magumu mkuu that's a quite reason
Ndo watuzimie simu sasa[emoji28]aah jamani,hata kama ni ugeni hapana
Sometimes wenyewe ndo wanatuambia tuje mjinMji wa biashara huu watu wapo bize 24hrs we unataka kutembelea [emoji16] katembee mbugani huko
Duuuuh mbna Wana shida sanaAnakunywa chai saa nne, saa kumi ugali kwa tembele, siku imekatika. Utamharibia ratiba yake.
MKuu Sasa mi nipo single ....kigeto geto .....ntapata wapi muda wa kupika viaz...na ndiziLabani og ..ukitaka kuja tena nitafute mwaya uniletee mie io mikungu ya ndizi na viazi[emoji38][emoji38][emoji38]maana sielewi uliachaje siku 3 vikaoza wakati ulikua unaenda "kwako"...[emoji38][emoji38] au kwako vimejaa hadi ukagawia majirani..?
Tena me saa hz ndo nawakwepa kwenda kwao, walikuwa ni watu wazima wana kwao , kwahiyo niseme asanteni nawapenda sana sana,
Kwamba imekuwa ni " State visit [emoji23][emoji23]Tuna misongo ya mawazo, hasa kwasababu za kiuchumi. Don't surprise us like that please. We don't like it. Toa taarifa a week before otherwise hatupo! !