Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
- Thread starter
- #21
Mbna na nyie huku mikoani ...mnakuja na familia zenuTatizo huwi mmoja, wanakuwa ni wengi wameenda kusalimia hapo....
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mbna na nyie huku mikoani ...mnakuja na familia zenuTatizo huwi mmoja, wanakuwa ni wengi wameenda kusalimia hapo....
Basi walikuwa na roho nzr[emoji23]Hahahaha nashukuru kipindi nakuja dar hakuna aliyenikimbia walinakrimu sana sana, nami nitawakarimu wote wageni, japo mapungufu hayakosekan lkn kukimbia mtu siwezi
Yaaah mkuu...sema sasa wakija mikoan Wana pressurize tuende tukalione jijiWatu wa Dar wengi wao wanaishi maisha magumu Sana kula yao ya shida nyumba wanazoishi tabu tupu, Hali ya hewa mbaya Sana sema wanaforce waonekanq wanaishi mjini Ila ni Kama jehanamu, kwa kweli sisi wa mkoani tunaenjoy mno Kama tupo peponi tumezungukwa na mabikra 70
Baada ya miaka kadhaa,nyie Kila likizoMbna na nyie huku mikoani ...mnakuja na familia zenu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya miaka kadhaa,nyie Kila likizo
Itakuwa walitoka swax hao.....Ukiachilia mbali ugumu wa maisha kwa baadhi ya watu, budget na mengineyo lkn kubwa zaidi ni ushirikina wa watu wa mikoani hasa ndgu wanaokujua, wasisikie fulani maisha yanamwendea vzr. Watafanya Kila mbinu ili wakuangushe sasa kwa sababu uko mbali nao ulozi wao haushiki vzr hivyo watafanya Kila mbinu wawe karibu na wewe that's why tunawakataaga tunajua mambo yenu mweusi[emoji23].
Mfano Mimi mwaka Jana mwezi wa 12 Kuna ndgu ( mama na mwanae) walikuja kunisalimia lkn Kuna kitu nilikigundua kwao, wanakua kwenye mazungumzo mazito lkn nikitokea tu wote kimya kana kwamba walikuwa hawazungumzi chochote, basi machale yakanicheza nikasema ngoja niwategeshee tape recorder nijue kitu Gani wanakizingumza seriously lkn nikitokea wote wanakula buyu???
Inshort hakuna kiumbe mbaya Dunia hii kama ndgu. Kama wewe sio mzaliwa wa dar hakuna wa kukuchezea hapa dar labda ujichanganye vya watu. Watu wasiotaka utoboe ni ndgu zako hasa sisi tunaotoka kwenye Koo za kimasikini. Washirikina sanaaaaa
UKawafukuza??Ukiachilia mbali ugumu wa maisha kwa baadhi ya watu, budget na mengineyo lkn kubwa zaidi ni ushirikina wa watu wa mikoani hasa ndgu wanaokujua, wasisikie fulani maisha yanamwendea vzr. Watafanya Kila mbinu ili wakuangushe sasa kwa sababu uko mbali nao ulozi wao haushiki vzr hivyo watafanya Kila mbinu wawe karibu na wewe that's why tunawakataaga tunajua mambo yenu mweusi😂.
Mfano Mimi mwaka Jana mwezi wa 12 Kuna ndgu ( mama na mwanae) walikuja kunisalimia lkn Kuna kitu nilikigundua kwao, wanakua kwenye mazungumzo mazito lkn nikitokea tu wote kimya kana kwamba walikuwa hawazungumzi chochote, basi machale yakanicheza nikasema ngoja niwategeshee tape recorder nijue kitu Gani wanakizingumza seriously lkn nikitokea wote wanakula buyu???
Inshort hakuna kiumbe mbaya Dunia hii kama ndgu. Kama wewe sio mzaliwa wa dar hakuna wa kukuchezea hapa dar labda ujichanganye vya watu. Watu wasiotaka utoboe ni ndgu zako hasa sisi tunaotoka kwenye Koo za kimasikini. Washirikina sanaaaaa
Basi nna mkosi naoWewe unatembeleaga masikini, watu wenye nazo dar, wanapenda wageni.
mkuu unachambua!Hueleweki wewe ni wa dar au wa huko milimani Tukuyu,maelezo yako yanakutambulisha wewe ni muongo mbobevu.
kwa sababu maisha ni magumu mkuu that's a quite reasonWakati mwingine huwa sielewi shida ya watu wa Dar nini Kuna siku Rafiki yangu nilimwambia nakuja Dar akaniambie niletee zawadi za huko Tukuyu.
Nikanunua mkungu wa Ndizi debe la Viazi na Nyanya ndoo nilinunua Doma mbele ya mikumi kama nilitumia 60,000 kumpelekea Rafiki yangu nilikua na private Car ila nakaribia kufika nikamwambia anielekeze Nia yangu nimepekee tu hivyo vitu Mimi niende kwangu akaniambia katoka kaenda Tanga[emoji23][emoji23]
Nikawa nampigia hapokei mara Simu haipatikani baada ya siku tatu vile vitu vikaanza kuaharibika nikampigia picha nikamtumia na nikagawa kwa majirani zangu nikiwa naenda akisema niletee Michele au mafuta namwambia acha Uzushi wajinga sana hawa jamaa sijui alifikiri Mimi nataka kufikia kwake.
Je huwa tatizo ni nini
#####HATUCHEZI###View attachment 3338863
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
😅aah jamani,hata kama ni ugeni hapana