Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
- Thread starter
- #161
Mbna hata sisi hatuji mikono mitupuHuku hakuna mashamba ya viazi kila kitu kununua
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mbna hata sisi hatuji mikono mitupuHuku hakuna mashamba ya viazi kila kitu kununua
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji23][emoji23]Sijasoma uzi wote uko juu
Hivi kuna aliegusia ishu ya wa mikoani kung'ata sana sembe kama viwazijeshi?
wew ukizubaa utakuta anko wako aliyeingia jana toka kule ligangabilili wilaya mpya ya itilima ndo anamalizia vipande vya mwisho vya ule mkate wa elf 2 uliouandaa kwa ajili ya familia nzima.
Asa si mkija huku mikoni mnatweza kama mmeshajipataHatuna maisha sa tufanyaje?
Tutumieni hela muone km hatujawakaribisha
Endelea MkuuMiaka zaidi ya 10 nilifanya uamuzi wa mgumu wa kuhama home (chuga) na kwenda Dsm kusaka fursa. Nilidhani itakuwa rahisi kupokelewa na ndugu yangu aliyekuwa tayari akiishi Dar. Nikamtaarifu kuwa nakuja Dar akasema poa. Nikiwa hotelini Korogwe akanitumia msg kuniuliza kuwa kwake nitakaa siku ngapi... lile swali lilinikera sana nikaapa kuwa sitaenda kwake bora nilale stendi. Sikumjibu kabisa msg yake.
Nikamcheki rafiki yangu akasema poa njoo.... nimefika Ilala Boma mida ya saa 1 jioni nikamkuta jamaa kituoni ananisubiri... jamaa akaniambia nilikujibu tu nisikukatishe tamaa ila kiukweli mimi naishi chumba kimoja na shemeji yako ambaye ni mjamzito. Miguu iliishiwa nguvu ila bado msimamo ukawa siendi kwa ndugu. Jamaa yangu akaniambia ataniombea hifadhi kwa moja wa marafiki zake....
tukaanza kwenda kwa huyo rafiki aliyesema.. kufika tukakutana na kijana kanyoa kiduku anavuta sigara kama garimoshi huku uongeaji wake ukimtambulisha kama mvuta bangi mwandamizi. Yule jamaa jina lake pia lilikuwa la kisanii.. mshkaji akasema huyu ndo jamaa atakayekupa hifadhi anapoishi.... nilivunga na kujiambia hii sasa sio poa... baada ya maongezi mafupi tukamuaga jamaa na kuelekea kutafuta msosi... ITAENDELEA..
Hilo ndo tatzo mkuuTatizo wakija mikoani hawasemi maisha halisi wanayoishi wakiwa dar,wanaji proud,kwahiyo ukimwambia unaenda dar lazima akukwepe maana atadhalilika
HahahahaHatuna maisha sa tufanyaje?
Tutumieni hela muone km hatujawakaribisha
Hyo kweli ni pure capitalismDar es salaam everything is calculated. Let's say umepigia hesabu Kwa siku utumie 15,000 mgeni akija anakubadilishia hesabu, mwisho wa mwezi ukishindwa kubalance hesabu mwisho wa mwezi inakula kwako. Dar kuombana vitu ama pesa kutoka Kwa majirani ni nadra. Dar ni mji unaoendeshwa ki capitalism. Socialism hamna. Especially Kwa mtu aliyepanga, hamna sababu ya kumtembelea watu wanawasiliana Kwa njia ya simu .
Wanajua ..utaleta maslahiJibu ni rahisi tu shauri ya Ugumu wa maisha na hali ya hewa
Mimi nina bahati nikiendaga dar nikitokea huku mikoani nagombewa kama mpira wa kona wanajua mwamba atakuja na samaki,Kuku,mawese,karanga,ulezi au ndizi
kiongozi tuwasiliane uje kwetu😆mwamba atakuja na samaki,Kuku,mawese,karanga,ulezi au ndizi