Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
- Thread starter
- #121
Unakimbia wageni wakija darOna hii lofa sasa mimi nimefanyaje[emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unakimbia wageni wakija darOna hii lofa sasa mimi nimefanyaje[emoji23]
Sijawahi na kama n wa humu kuna mmoja alinikimbia yeye mwenyewe.
Mimi mwakani nitakuwa ughaibuni mkuuKaka Mwakani nakuja dar, ole wako usi onekane
Nadhani hizi ni sababu za msingiNi kweli watu wengi wa Dar hatupendi wageni kwa sababu zifuatazo:-
1.Watu wengi hatuna muda wa kukaa nyumbani,kila siku tuko bize kutokana na nature ya jiji hili,hivyo mgeni ukija ni usumbufu kwa kuwa mgeni anatakiwa apewe muda wa kuwa nae.
2.Mikoani huwa tunajipa/mnatupa status ambazo ki uhalisia hatuna kwa hiyo ili kumentain hiyo status ni bora nisikupe nafasi ya kufika kwangu
3.Watu wengi ukiwakaribisha kwa mara ya kwanza nyumbani ndio mwanzo wa mazoea ya kuja kuja nyumbani hata kama hana mpango maalumu
4.Tukija kwenu sisi ndio walipaji wa bill na mkija huku sisi ndio tunawalipia tena.(kama utanihakikishia ukija kwangu utakuwa unatoa kama mimi ninvyokutoa ukiwa kwenu mkoani..basi karibu Dar)
5.Uchawi na kurudishana nyuma...watu wengi wa mikoani ni wachawi hivyo ili kujizuia na kimbola chao ni bora wasijue nyumbani.
Labda vijijini huko, na songea mbona vyakula ni vingi si ugali pekee,Uko sahihi mkuu.....mfano kule songea wanazalisha sana mahindi Sasa mtoto asubuhi anakunywa uji wa mahindi ( carbohydrates)
Mchana anapikiwa ugali ( carbohydrates)
Usiku anachemshiwa mahindi ( carbohydrates)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mwezi mzma cycle hiiyo hiyo ya msosi wa aina Moja ....that's y vitoto vinakua na matumbo makubwa ( malnutrition, ..... kwashiorkor [emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mboga ataleta nani? Maji ya kuoga, msongamano ndani ya nyumba, kuchuguzana kimaisha n.k
Utakuwa Dubai ehh🤔Mimi mwakani nitakuwa ughaibuni mkuu
Ntakuwa huko dunianiUtakuwa Dubai ehh🤔
Baridi haji manaraNtakuwa huko duniani
Dar hamna mashamba ya ndizi,mihogo,au mboga.Kila kitu ni kuingia mfukoni ili kieleweke jua hata nyumba ya nyasi ya kujitengenezea ama ya tope hamna inabidi upange kwa baba au mama mwenye nyumba.bei zenyewe kama za kilo ya dhahabu.Ajira tunaambiwa tuende veta,iweje hapa zaidi ya kuchanganyikiwa.Wakati mwingine huwa sielewi shida ya watu wa Dar nini Kuna siku Rafiki yangu nilimwambia nakuja Dar akaniambie niletee zawadi za huko Tukuyu.
Nikanunua mkungu wa Ndizi debe la Viazi na Nyanya ndoo nilinunua Doma mbele ya mikumi kama nilitumia 60,000 kumpelekea Rafiki yangu nilikua na private Car ila nakaribia kufika nikamwambia anielekeze Nia yangu nimepekee tu hivyo vitu Mimi niende kwangu akaniambia katoka kaenda Tanga[emoji23][emoji23]
Nikawa nampigia hapokei mara Simu haipatikani baada ya siku tatu vile vitu vikaanza kuaharibika nikampigia picha nikamtumia na nikagawa kwa majirani zangu nikiwa naenda akisema niletee Michele au mafuta namwambia acha Uzushi wajinga sana hawa jamaa sijui alifikiri Mimi nataka kufikia kwake.
Je, huwa tatizo ni nini
#####HATUCHEZI###
View attachment 3338863
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwani wewe Mushaambaa,kwenye sii hasa yeye wapo 702.Watu wa Dar wengi wao wanaishi maisha magumu Sana kula yao ya shida nyumba wanazoishi tabu tupu, Hali ya hewa mbaya Sana sema wanaforce waonekanq wanaishi mjini Ila ni Kama jehanamu, kwa kweli sisi wa mkoani tunaenjoy mno Kama tupo peponi tumezungukwa na mabikra 70
Hio ndo sababu kubwa mkuuLabda vijijini huko, na songea mbona vyakula ni vingi si ugali pekee,
Viazi mviringo,
Viazi vitamu,
Magimbi
Ndizi aina zote
Mchele
Mihogo
Samaki/dagaa kutoka ziwa nyasa,,,,,huku hakuna ugumu wa mmisosi aisee.
Mboga mtanunua hata mchicha 500 funguMboga ataleta nani? Maji ya kuoga, msongamano ndani ya nyumba, kuchuguzana kimaisha n.k
Kwamba mmeshindwa kuchukua shule ya Bure Kwa chief godlove [emoji23]Dar hamna mashamba ya ndizi,mihogo,au mboga.Kila kitu ni kuingia mfukoni ili kieleweke jua hata nyumba ya nyasi ya kujitengenezea ama ya tope hamna inabidi upange kwa baba au mama mwenye nyuma.bei zenyewe kama za kilo ya dhahabu.Ajira tunaambiwa tuende veta,iweje hapa zaidi ya kuchanganyikiwa.
Sawa kenge mmaBaridi haji manara
Wanafanya hivyo wasionekane wachovu ila kiuhalisia ni wachovu 😂
Ooooh nilisahau na ngano pia zalimwa,,, sasa kuna vyakula zaidi ya hivyo au ni mapishi tofauti??Hio ndo sababu kubwa mkuu
Let say mtoto asubuhi anakula ... ugali----- carbohydrates
Mchana ....viazi mviringo --- carbohydrates
Usiku .....viazi vtamu ...... Carbohydrates
Kesho ndizi .... carbohydrates....
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ndo kinachowaponza hicho[emoji23]Wanafanya hivyo wasionekane wachovu ila kiuhalisia ni wachovu [emoji23]
Balance diet ndo inatakiwaOoooh nilisahau na ngano pia zalimwa,,, sasa kuna vyakula zaidi ya hivyo au ni mapishi tofauti??