Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,610
- 13,270
Ulaji mbovuWee acha uongo, sasa mikoa inazalisha chakula, afu tena kuna udumavu, kisa lishe duni? How?
Ulaji mbovuWee acha uongo, sasa mikoa inazalisha chakula, afu tena kuna udumavu, kisa lishe duni? How?
UongoooUlaji mbovu
😂😂😂😂😂Utaskia nipeleke Mlimani, Nipeleke Taifa, Nipeleke ikulu mara Nipeleke Beach.
Kama halijui kuna bolt.
😂😂😂😂😂 jamaniiiSamahani wakuu hivi mtu anayeishi mapinga, kerege, kijichi kule au mpiji huko au mbagala, gongolamboto, kivule au pugu ndanindani uko nayeye anaishi Dar au?
Halafu nyie watu wa mikoani mnavyofukia!!wao wanawaza unaenda kula tu,maana kula yao tu ni shida baadhi,.
Kweli angalia hata takwimu kwa upande wa kand ya ziwaUongooo
Labda huko kanda ya ziwa, ila kanda ya juu kusini, hapana, huku life ni mswanoooo.Kweli angalia hata takwimu kwa upande wa kand ya ziwa
Debe Moja la mchele + ndiziKama utaenda na kuku wa tano mkononi, wataweza kukupokea; na kuku watakapoisha na wewe urudi ulipotoka.
Yaaah mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Samahani wakuu hivi mtu anayeishi mapinga, kerege, kijichi kule au mpiji huko au mbagala, gongolamboto, kivule au pugu ndanindani uko nayeye anaishi Dar au?
Lkn kabla ya hapo wanakua wanajigamba sanaHali ya maisha ni tight
Yaaah mkuu mwamba alibadili location chaaap [emoji23][emoji23]Aisee nimecheka sana ety nipo Tanga
Kwenye kula hapo sikupingi mkuu.....sisi tumezoea....unapewa sahani mzima ya msosi umejaaTusameheni wakuu, Shida Yenu mnakula kama mpo Ibizabageni huko[emoji26][emoji26][emoji26]
na uchumi wa daslam mnaujua
Kwamba naww huniamini[emoji32]Nimecheka hatarii, ila wee ni gukorofi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipata muda pitia ripoti za lishe hata TNNS uko,,, sehemu nyingi wanazalisha chakula na kuuza kwaio wanakosa lishe bora inapelekea wanapata udumavu... 😂Wee acha uongo, sasa mikoa inazalisha chakula, afu tena kuna udumavu, kisa lishe duni? How?
Uko sahihi mkuu.....mfano kule songea wanazalisha sana mahindi Sasa mtoto asubuhi anakunywa uji wa mahindi ( carbohydrates)Ukipata muda pitia ripoti za lishe hata TNNS uko,,, sehemu nyingi wanazalisha chakula na kuuza kwaio wanakosa lishe bora inapelekea wanapata udumavu... [emoji23]
Aaaah nyie mkija kijijin huwa ndo mnaji proud sana ......Shida ni hivi.. unakuta mtu anaenda mkoani kusalimia anajikoki vya kutosha ili akifika huko asiumbuke kwa vitu vidogo vidogo vinavyohitaji pesa.
Sasa mtu wa mkoani anajua labda jamaa anaishi maisha mazuri Dar kumbe kawaida tu, siku akipata nafasi ya kumtembelea akaona uhalisia wake zinaanza dharau.. ili kutunza brand ndo maana wengi wanawakwepa.
Ndio tofaut io mkuu.. Huku kwetu ukibahatika asubuhi kitumbua kwa mama sele, mchana ugali na miguu ya kuku na kichwa au dagaa mchele kwa wenye kumudu, usiku supu ya mapupu 😂😂 very nutritious japo kua maisha ni ya kuunga unga..Uko sahihi mkuu.....mfano kule songea wanazalisha sana mahindi Sasa mtoto asubuhi anakunywa uji wa mahindi ( carbohydrates)
Mchana anapikiwa ugali ( carbohydrates)
Usiku anachemshiwa mahindi ( carbohydrates)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mwezi mzma cycle hiiyo hiyo ya msosi wa aina Moja ....that's y vitoto vinakua na matumbo makubwa ( malnutrition, ..... kwashiorkor [emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app