Kwanini mtu wa Dar anachanganyikiwa ukimwambia unaenda kumtembelea?

Kwanini mtu wa Dar anachanganyikiwa ukimwambia unaenda kumtembelea?

Tena me saa hz ndo nawakwepa kwenda kwao, walikuwa ni watu wazima wana kwao , kwahiyo niseme asanteni nawapenda sana sana,

Unajua ishu watu wengi wanaogp kuonekna life wanaloishi Ila ukiwa open utaishi kwa Raha,

Afu sio Kila mtu anapendelea kubanana au kulala anapoenda kusalimu wengine wanajikataa, kukupa uhuru, aliogopa hata ungelala kwamba unaish Hyatt regency kwamba ukifka kule ushangae mbona analala chini ? Au kitanda hakina foronya not ?
Sahihi mkuu...ukiwa open....inakuwa Raha sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Samahani wakuu hivi mtu anayeishi mapinga, kerege, kijichi kule au mpiji huko au mbagala, gongolamboto, kivule au pugu ndanindani uko nayeye anaishi Dar au?
 
Back
Top Bottom