Hawajikubali[emoji23]min -me [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]lakini na sisi tunawapelekeawao wanawaza unaenda kula tu,maana kula yao tu ni shida baadhi,.
Wakati mwingine huwa sielewi shida ya watu wa Dar nini Kuna siku Rafiki yangu nilimwambia nakuja Dar akaniambie niletee zawadi za huko Tukuyu.
Nikanunua mkungu wa Ndizi debe la Viazi na Nyanya ndoo nilinunua Doma mbele ya mikumi kama nilitumia 60,000 kumpelekea Rafiki yangu nilikua na private Car ila nakaribia kufika nikamwambia anielekeze Nia yangu nimepekee tu hivyo vitu Mimi niende kwangu akaniambia katoka kaenda Tanga
Nikawa nampigia hapokei mara Simu haipatikani baada ya siku tatu vile vitu vikaanza kuaharibika nikampigia picha nikamtumia na nikagawa kwa majirani zangu nikiwa naenda akisema niletee Michele au mafuta namwambia acha Uzushi wajinga sana hawa jamaa sijui alifikiri Mimi nataka kufikia kwake.
Je huwa tatizo ni nini
#####HATUCHEZI###View attachment 3338863
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hakuna kuwapelekea,maana ukifika navyo wasema,,ooooh hivi viazi huko kwenu debe sh5000 eeeh, hawajui tu ni upendo.[emoji23][emoji23][emoji23]lakini na sisi tunawapelekea
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hatari sana mkuu....inatakiwa tujikubali the way we're[emoji23][emoji23][emoji23] we
Yaaah wanachukulia simpleHakuna kuwapelekea,maana ukifika navyo wasema,,ooooh hivi viazi huko kwenu debe sh5000 eeeh, hawajui tu ni upendo.
Shida ni wakija huku tukuyu...wanakua na stori nyingi za show off[emoji23]Wengi wana njaa na makazi yaiso eleweka mkuu..... kwakifupi wengi wao wanaugumu wa maisha, kwahiyo tuwahurumie na tusiwatenge mkuu...
Daah tatizo wanajigamba sana wakija mikoan [emoji23][emoji23]Wanaishi stoo.
Chumba kimoja kimejaa mkaa, mchele, kitanda, jiko dogo la gas na sahani mbili
😁😁Wanaishi stoo.
Chumba kimoja kimejaa mkaa, mchele, kitanda, jiko dogo la gas na sahani mbili
Nahtajiri tuna makazi mengi mkuuHueleweki wewe ni wa dar au wa huko milimani Tukuyu,maelezo yako yanakutambulisha wewe ni muongo mbobevu.
Ndiyo.