Kwanini mtu wa Dar anachanganyikiwa ukimwambia unaenda kumtembelea?

[emoji112][emoji112][emoji112][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Endelea Mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Dar es salaam everything is calculated. Let's say umepigia hesabu Kwa siku utumie 15,000 mgeni akija anakubadilishia hesabu, mwisho wa mwezi ukishindwa kubalance hesabu mwisho wa mwezi inakula kwako. Dar kuombana vitu ama pesa kutoka Kwa majirani ni nadra. Dar ni mji unaoendeshwa ki capitalism. Socialism hamna. Especially Kwa mtu aliyepanga, hamna sababu ya kumtembelea watu wanawasiliana Kwa njia ya simu .
 
Jibu ni rahisi tu shauri ya Ugumu wa maisha na hali ya hewa
Mimi nina bahati nikiendaga dar nikitokea huku mikoani nagombewa kama mpira wa kona wanajua mwamba nitakuja na samaki,Kuku,mawese,karanga,ulezi au ndizi
 
Hyo kweli ni pure capitalism

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…