Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Yesu ni mwili na nafsi ...mwili uzaa mwili.... hivyo maria ni mama wa yesu katika mwili ila nafsi ya yesu ni nafsi ya Mungu ....utatu mtakatifu siyo utatu wa nafsi 3 nafsi ya mungu ni moja tu ....Ukiangalia na kuchunguza kisa kizima cha kuzaliwa Yesu, unamshangaa yeye, mama yake, baba yake hata Mungu wake. Eti bikra alipata mimba kwa roho mtakatifu! Hii maana yake nini wakati tunaambiwa roho ya Mungu ilimfunika Maria. Kama kweli ilimfunika, nani anajua kilichofanyika wakati amefunikwa? Je hii ndiiyo ilikuwa njia pekee ya 'kufanya miujiza uchwara'? Kwanini kumsumbua binti watu kama ni kweli wakati Yesu angeshuka kama malaika Gabriel au vibwengo vingine? Kama haitoshi, kuna baadhi ya wajinga wanamuita Maria mama wa Mungu kana kwamba Mungu anaweza kutosha kwenye tumbo la mwanamke. Kama kweli mwanae ni Mungu, je alipokuwa na mimba, dunia haikuwa na Mungu? Naomba tuelimishane juu ya hili wnangu.
1)MUNGU (baba)
Nafsi ya Mungu ndiyo Mungu
2)YESU
(nafsi ya mungu kutwaa mwili)
Ni mwili wa binadamu (mwana) usio na nafsi ya binadamu bali nafsi ya Mungu (baba).
3)ROHO MYAKATIFU
Ni mwili wa binadamu wenye nafsi ya binadamu na nafsi ya Mungu...(nafsi mbili ndani ya mwili mmoja)
Hapa ndiyo kuna majibu makubwa ya injili ya kweli...maswali yote ya mungu kufa na kufufuka na utata wa yesu kufa siku 3 ila msalabani anasema leo hii tutakuwa pema peponi ....na uongo wa wakristo wanao sema yesu ajui siku ya kihama ....wakati yesu alisema hata mwana (mwili) ajui ila baba(nafsi ya mungu) kwa kusema vile ukitumia akili maana yake aliwaambia kuwa mwili wake aujui ila nafsi yake inajua maana yake anajua ...kwa sababu nafsi ya kristo ndiyo mungu...ndiyo sababu anawaambia wanafunzi wake anionaye mimi kamwona baba (mungu)
KILICHO KUFA NA KUFUFUKA SIKU YA 3 NI MWILI WA KRISTO BALI NAFSI ILIYO KUWA NDANI YA KRISTO NI MUNGU HIVYO MUNGU HAWEZI KUFA HATA SEKUNDE MOJA.... NDIYO MAANA ALISEMA ALIPOKUWA MSALABANI KUWA LEO HII UTAKUWA NAMI PEMA PEPONI ....Sasa yesu aliye kufa na kufufuka ni yupi na huyo aliyepo peponi siku ileile ni yupi .....hapo jibu ni kilicho kufa ni mwili wa kristo (mwana) siyo nafsi ya kristo(Mungu(baba) ..hivyo baba alitoka ndani ya mwili wa kristo na yesu anasema baba mbona umeniacha...
HII NINAYO WAAMBIENI MIMI NI INJILI YA KWELI SIYO HAYO MATAKATAKA YA MAKANISANI NA MISIKITINI MNAYO FUNDISHANA NA KUDANGANYANA KUHUSU YESU(ISSA)