Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Waebrania 2 (Biblia Takatifu)Ukiangalia na kuchunguza kisa kizima cha kuzaliwa Yesu, unamshangaa yeye, mama yake, baba yake hata Mungu wake. Eti bikra alipata mimba kwa roho mtakatifu! Hii maana yake nini wakati tunaambiwa roho ya Mungu ilimfunika Maria. Kama kweli ilimfunika, nani anajua kilichofanyika wakati amefunikwa? Je hii ndiiyo ilikuwa njia pekee ya 'kufanya miujiza uchwara'? Kwanini kumsumbua binti watu kama ni kweli wakati Yesu angeshuka kama malaika Gabriel au vibwengo vingine? Kama haitoshi, kuna baadhi ya wajinga wanamuita Maria mama wa Mungu kana kwamba Mungu anaweza kutosha kwenye tumbo la mwanamke. Kama kweli mwanae ni Mungu, je alipokuwa na mimba, dunia haikuwa na Mungu? Naomba tuelimishane juu ya hili wnangu.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁴ Basi, kwa kuwa watoto wameshiriki damu na mwili, yeye naye vivyo hivyo alishiriki yayo hayo, ili kwa njia ya mauti amharibu yeye aliyekuwa na nguvu za mauti, yaani, Ibilisi,
¹⁵ awaache huru wale ambao kwamba maisha yao yote kwa hofu ya mauti walikuwa katika hali ya utumwa.
¹⁶ Maana ni hakika, hatwai asili ya malaika, ila atwaa asili ya mzao wa Ibrahimu.